Taasisi ya RafikiElimu Foundation, inapenda kuwatangazia vijana wote wa kitanzania, nafasi za kushiriki katika mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali. Bidhaa zitakazo fundishwa ni pamoja na UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA KUJIPAKA, LOSHENI na MANUKATO.
SIFA...
HALI BADO NI MBAYA MTWARA....WANAFUNZI WAWILI WAMETANDIKWA RISASI, MMOJA AMEFARIKI HAPOHAPO
Mwandishi wetu aliyepo Mtwara ametueleza kuwa hivi sasa baadhi ya wananchi wa eneo la magomeni mkoani mtwara wamekimbilia katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara Lugula wakihofia usalama waokutokana na vurugu...
ALBINO AFUKUZWA SHULE JIJINI MBEYA KWA MADAI KWAMBA NI MCHAWI
Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni hapo wakimtuhumu kuwa mchawi majira ya usiku hali iliyomlazimu kuomba hifadhi kwa mlinzi...
NAFASI ZA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI JIJINI ARUSHA.
RAFIKIeLIMU FOUNDATION kwa kushirikiana na Taasisi ya VISION FOR YOUTH ya Jijini Arusha, wanakuletea SEMINA YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI . Mafunzo yatakayo fundishwa ni pamoja na Utengenezaji wa bidhaa...
Baada ya kufanya uchunguzi wetu kwa kushirikiana na jeshi la polisi nchini Tanzania pamoja na Vodacom, hatimaye yule tapeli aliyekuwa anatapeli watu mtandaoni kwa jina la RafikiElimu Foundation, na kuwatoza fedha shilingi elfu tano kila mmoja huku akiwahadaa...
Dear wadau wa JF na watanzania wote kwa ujumla, uongozi wa Taasisi Isiyokuwa ya kiserikali ya RafikiElimu Foundation unapenda kutoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu taarifa kadhaa zilizo tolewa dhidi ya taasisi yetu. Siku ya leo, tumesoma taarifa iliyo tolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.