Recent content by Radicalist

  1. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki na Waziri Mwakyembe waongea na waandishi wa habari

    Wasi wasi wangu ni kua anasindikizwa na akina nani , Roma ongea ukweli lasivyo utadhalilika ukiongea kinyume na Moyo wako.
  2. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanaotumia majina ambayo sio ya kwao

    Hivi DAUDI BASHITE ataendelea na episode ya 3?
  3. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Kweli kabisaa umakini unahitajika hii vita si ya kitoto .
  4. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Manji na Gwajima waondolewa Kituo cha Polisi na gari jeupe chini ya ulinzi kuelekea katikati ya jiji

    Hii ndio Tanzania ya Viwanda mwanangu kua uvione.
  5. Radicalist

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Hii nchi ukifikiria sana kuhusu hawa viongozi kabisa unaona anaeendesha serikali sio binadamu.
  6. Radicalist

    JamiiForums Tanzania RC Makonda nisaidie kujibu maswali haya

    Makonda inaonyesha hajui chochote kuhusu Ngada dealers.
  7. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Tanzania yangu , Makonda sifa zinafanya hii vita kua ngumu.
  8. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Kisheria, Paul Makonda asipofika Kamati ya Maadili nini kitatokea?

    Wateule aina ya Makonda ni Hasara kwa Taifa , Kijana anafanya mambo hovyo hovyo aitwe atueleze hyo jeuri kaitoa wapi?
  9. Radicalist

    JamiiForums Tanzania RC Makonda, hupaswi kufanya makosa kama haya katika nyakati hizi

    Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge , Makonda ktk vita ya kupinga wauzaji na watumiaji wa Ngada tuko pamoja ,, Lakini kama unafanya haya kisiasa kiujanja ujanja kujipatia umaarufu usio na maana Sheria msumeno ikate kote kote , , Serikali iwe makini na Wateule wenye kutaka sifa itawagharimu.
  10. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda Simon Sirro ameidhalilisha taaluma yake mbele ya miguu ya Paul Makonda, ajitafakari!

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni .
  11. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Kamateni wote mnaoona ni wapinzani muishi kwa raha kwenye hii nchi , Fungeni wote ili tujue mmedhamiria kweli kua mafisadi na Miungu watu.
  12. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

    Ukiwa na fikra huru jiandae kuswekwa ndani hata bila sababu za msingi , Hii nchi inaonekana wengine hawapo huru , Uhuru walipata wengine wengine hawajapata.
  13. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Ada ya kusomea Diploma ya Afya Vyuo vya Serikali

    Nina mdogo angu ana F CHEM , D PHYSICS , C BIOS ANAWEZA SOMEA NINI? NAOMBA MSAADA WENU WAKUBWA
  14. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa

    Huo mti ni mgumu kuliko kawaida Makonda kama unatafuta Kiki ktk hilo hautafanikiwa ila kama umedhamiria kweli fanya kazi isiwe kama ya walimu na daladala.
  15. Radicalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi: Namtambua Profesa Lipumba

    Huu ni mpango mchafu dhidi ya upinzani , Jaji Mtungi unayemtumikia ana ukomo Mwogopeni Mungu enyi binadamu , Leo hii mnakandamiza haki hapa duniani mnajiona ninyi ndio wamiliki wa hii nchi , Siku zaja ambapo mtashindwa hata kutoka ktk nyumba zenu.
Back
Top Bottom