Ccm kitengo cha propaganda unazingu, mbona wasomi kibao mnao but unatumia majuha kwenye kazi za cha tawala, wekeni watu wanaojielewa watakao leta fitina na uzushi mwenye akili kwenye majukwaa ya wanaojielewa kama hapa, azaways wanaccm wote 2taonekana mazuzu, viazi na wadhaifu kama our...
Ccm kitengo cha propaganda unazingu, mbona wasomi kibao mnao but unatumia majuha kwenye kazi za cha tawala, wekeni watu wanaojielewa watakao leta fitina na uzushi mwenye akili kwenye majukwaa ya wanaojielewa kama hapa, azaways wanaccm wote 2taonekana mazuzu, viazi na wadhaifu kama our chairperson
Ccm acheni noma bhana mtaua makamanda, pinda alikua anatania tu kama rais kijana alivyokua anatania watz na ahadi zake cjui 300 na ngp ambazo baadae kageuka mwenyewe na kusema alikua anazuga na kwamba wakati anaahidi shetani alimpitia, hiyo ndio ccm iliyojaa kila aina ya ushetani dhidi ya ya...
Jk ni m2 kama wa2 wengine ana mapungufu yake, mengi aliyokua anaahadi alikua ana tania 2 na watu wengi huwakujua anatania hivyo wakabaki wanasubiri huku marafiki zake wakijua yuko kweny mzaha, jk ni ccm toka utoto wake na sote 2najua tabia ya ccm kwa miaki hii 53 ya uhuru, hiv ni haki hata mbele...
M/kiti wanagombea wanachama waaminifu, zitto anaelewa usaliti anaofanyia watz but anasukumwa na nguvu ya hela nyingi anayopewa na ccm, ssa we ukimtetea zito wakat huna mgao wowote wa kifisadi unaopata unakua bonge la mpakwatwaji
Gharama ya trip 1 tu ya jk kwenda usa kuchek afya pa1 na msafara wake ambayo ni mil 700 mpaka bil kwa trip ingesaidia sana hao watoto na jk achek afya yake hapa temeke hospital but czan km ana roho ya imani kwa mackini kwan mpo msemo usemao matajiri wakubwa wa ku2pwa km jk huwa hawajui mwenye njaa
Daah, mambo ya allah, wa2 wanatoka kwenye vifungo vya ibilisi shetani wanakuja kwa pa1 na2elekea nchi ya ahadi tz huru bila ufirauni na ufisadi uliokisiri na kuota gamba kama la nyoka pori jike atagae wa mkoloni mweusi (ccj)
Rafiki na kipenzi cha ccm mh zitto ambaye pia amewahi kuwa naibu mwenyekiti wa chadema hana nia yoyote njema na wataka mabadiliko kwan amesaliti masikini wenzake kwa tamaa ya pesa za ccm' shame on you rafiki na kipenzi cha ccm mh zitto
Jk msanii, akikutana na wapambe wako wanawachora mafukara wanacheka kinoma, matajiri wa ccm nao wana vijiwe vyao wanakutana wanajadili jinsi wanavyopiga hela wanacheza na kuimba, wana2mia pesa na wanatesa laana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.