Recent content by Rabiel Reuben

  1. R

    Polisi Arusha wameaibika..

    Huyu Said Mwema kazi imemshinda!!! Kwanza ile tume ya kuchunguza madawa ya kulevya kule airport kwa mtoto we Mengi ni uzushi mtupu!! Jeshi limekumbatia mafisadi. Haya; na ili la Arusha ndio limethibitisha kabisaaaaaa!!!!!! Achia ngazi.
  2. R

    Mh. Samweli Sitta: Waziri wa Afrika Mashariki Ameiasi Serikali ya CCM?

    Mheshimiwa 6! Waambie ukweli hao waliokuchakachua! Mwanzo nilitaka kukulaumu kukubali Uwaziri wa Afrika mashariki; kumbe ulikubali ili uwapambane nao kwenye baraza la mawaziri!!! waambie ukweli tuikomboe hii nchi maana Mkwere yupo kimya, kazi kuudhulia birthday, mazishi na matamasha!!!!
  3. R

    Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Ni vizuri ieleweke wazi kwamba kulikuwa na mkanganyiko wa amri kutoka Polisi juu ya kukatazwa kwa maandamano. RPC na IGP wamejichanganya katika hili. Ok, amri ya mkubwa ikawa ya mwisho na maandamano yakafanyika; Nguvu iliyotumika inatakiwa kupongezwa na kubeza uongozi wa Chadema?? Kumbuka ni...
  4. R

    Dr. Slaa, Mbowe na wengine wote walioshikwa na polisi waachiwa

    Tunaomba tupate uhakika wa habari hii:music:
  5. R

    Hati ya mashtaka waliosomewa chadema hii hapa

    Mmmm!!! Jamani hivi kweli ili jambo ni la kikabila kweli?? Watu wanaongelea juu ya wamiliki wa Dowans, Ufisadi wa Richmond, Wabunge wote wa upinzani ni wachaga?? Toa hoja usitafute kudanganya kwa jambo usilolifahamu.
  6. R

    GE2010 Kwa nini Sitta asiuteme wadhifa wake wa uwaziri akahamia CHADEMA?

    Shida ya 6 haeleweki!!!!!???? Huyu ni vuguvugu na mwoga! Ila anaweza akafit Chadema
Back
Top Bottom