Recent content by R007

  1. R007

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Sijambo baya kuacha kazi ila chamsingi ahakikishe kwenye account yake ana mshahara wa mwaka mzima. Au kama anaweza kujipa muda akafanya kazi kwa mwaka mzima bila kuutegemea mshahara wake kwa matumizi yeyote yale atakuwa amefaulu na anaweza kuacha kazi na kuendelea na shughuli nyingine
  2. R007

    JamiiForums Tanzania Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

    Tafuta hela brother mifuko nikwajili yakuweka hela tu
  3. R007

    JamiiForums Tanzania Je, nani anapokea mahari kwa binti aliyelelewa na mama pekee?

    Hata wajomba nao niwazazi wanaweza kumuozesha mtt wadadao na kupokea mahari bili shida yeyote
  4. R007

    JamiiForums Tanzania Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

    Ifike mahali tuwe tunawalenga mawe kipindi cha kampen watajuaje kama wananchi tuna hasira nao mtu anapotea jimbon kwake anarud kipind cha kampen nabado tunampokea tuwalengen mawe wakiwa majukwaan heshima itakuwepo na hata kuongea upuuzi bungen watakua waoga
  5. R007

    JamiiForums Tanzania KIKAO CHA MABAHARIA: Wanawake ni watoto wenye umri mkubwa

    Uko sawa kabisa
  6. R007

    JamiiForums Tanzania Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Muulizeni Nabii Ibrahim kuwa mtoto wakijakazi (ismail)aliitwa ubini wa nani
  7. R007

    JamiiForums Tanzania Kama kweli serikali ya tanzania inataka maendeleo kwanini inaogopa kuwa karibisha makampuni makubwa yanayo endesha shuguli za nchi zao

    Asilimia kubwa ya wafanya biashara wa watanzania ni wanasiasa na wengine wameingia kwenye chama tawala ili kuficha makucha yao nivigumu sana maendeleo kuwepo maana wanaangalia faida kwa upande wao na watafaidika vip
  8. R007

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

    Kujenga mapema ni uwoga wa maisha na kutokua na uhakika wamakazi [emoji3] asilimia 90% ya vijana hua hatujengi nyumba za ndoto zetu , we jenga bana ukae kwako si tuta investment tutajenga uzeeni [emoji847]
  9. R007

    JamiiForums Tanzania Kilichowakimbiza Tanzania ni madeni, ila wakaamua kumsingizia mtu fulani

    [emoji3]nina shaka na ww haiwezekan kijana mzima kama ww unaogopa madeni unazani maendeleo yamtu yanakuja kirahisii
  10. R007

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Sa sibora nyie mwanza munakumbukwa je sisi wa Arusha mpka twahisi hatuko Tanzania hii Stend tuu yenyewe mpka leo imebaki ndoto masoko toka miaka ya 2000 mpka leo hakuna hata mabadiliko
  11. R007

    JamiiForums Tanzania Inasemekana wanaume wenye sehemu kubwa za siri huwa wanapatwa na tatizo la uwezo mdogo wa akili

    Siku zote ukiwa na matatizo yako unajaribu kuwaaminisha na wasio na matatizo kuwa nao wako kwenye matatizo hamna fact hapo zaid yakujifariji
  12. R007

    JamiiForums Tanzania Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Huyu waziri ndo wale wa kama mkate ghali kula keki [emoji3] kama bando ghali weka vocha usijiunge tumia hivyohivyo
  13. R007

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Heavy Motor Bike aina ya Kawasaki ila ushauri ninaopata kwa walionizunguka ndio napata uoga

    Somtime unapo taka kufanya ukipendacho haina haja yakutaka ushauri wazee wanatakiwa waone matokeo tuu
  14. R007

    JamiiForums Tanzania Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

    Unadhani hiyo ruzuku inatosha hata kuendesha chama
  15. R007

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Kesha anza kujirudi huyu
Back
Top Bottom