Recent content by R.Mandia

  1. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Sasa hz nifununu au team at work
  2. R.Mandia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubinafsi ndio unaowafanya watu wanaoana

    Tycoonff umeniibia jibu langu,hongera umeiweka vzr sn
  3. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, Mtoto wa jirani amefariki baada ya kung'atwa na mbwa kichaa

    Inauma tn sio kidogo.Mungu awape faraja wafiwa
  4. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Rangi halisi ya Mchungaji Msigwa yaanza kuonekana, CHADEMA watch out

    Siasa sio uadui kuwa Mbunge wa chadema haimanishi kutokuwa na urafiki na wabunge wa Ccm.Tuige mfano wa nyerere ilikuwa alimpigia kampeni Mbunge wa TLP wakati yeye in Cmm kampenia
  5. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Hoja imeharibiwa na ushaibiki wa vyama,hata ukijikita kwenye mauzui ya hotuba ningumu kueleweka.History will tell us.
  6. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu: Ama aende na Zitto, Au awe kama Prof. Lwaitama, ama asubiri kufukuzwa

    Ningetamani kuona siku moja watu wakijikita kwenye hoja badala ya kusukumwa na ushabiki wa kivyama.
  7. R.Mandia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

    Hata mimi sikutegemea kumuona msomi analeta post ya kipuuzi hv.umeshindwa kabisa kupata hoja yenye uwezo wa kuleta mtazamo chanya kwa jamii?
  8. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    Mtoa mada analogic kiasi.ngoja tuone
  9. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Nini Majukumu ya Mbunge kwa wapiga kura wake?

    Hapo umejeribu kufafanua sasa.
  10. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Katuni niliyoipenda: Chama kimoja, tune moja ila uchezaji tofauti

    Hii Kali
  11. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Nini Majukumu ya Mbunge kwa wapiga kura wake?

    Mbona unajikanyaga?
  12. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Elungata nafikiri haufahamu namna hospital za kikristo zinavyoendeshwa pia tunatoa ushauri baada ya kufikiri kwa kina, badala ya kuongea kwa ushabiki tu.
  13. R.Mandia

    JamiiForums Tanzania Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Mbona kwenye tamko hatuoni maelezo ya jinsi mtakavyo walipa hao kadhi?tunachokataa ni serikali kugharamikia kupitia kodi za wananchi wote.elezen vyanzo vya mapato vitakavyo wawezesha kulipana mishahara.
Back
Top Bottom