Recent content by Qzam

  1. Qzam

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe couple moja ya Mhindi na Mwafrika hapa Tanzania nami nikuoneshe couple 1000 za Waarabu na Waafrika

    Muhindi kuchanganya damu ni mwiko. Hats miongoni mwao wana matabaka matatu na hayachangamani. Hats ikatokea kijana wa kihindi kampa mimba mweusi watafanya kila njia hiyo Mtoto akae na mamake hawana habari tena.
  2. Qzam

    JamiiForums Tanzania Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Nyi waislam kwa nini mnavua viatu msikitini nani aliagiza mvue viatu? Jibu kwa andiko Quran au hadith.
  3. Qzam

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    QZ asset management. Sifa za QZ asset management hazifanani na kampuni yoyote uliyowahi sikia au kuwekeza; #Qz INA uzoefu wa miaka zaidi ya 10. #Qz ni regulated na AMAC China. #Qz ni audited kila miezi 6 na KPMG. #Qz liquidity provider ni bank tano kubwa ikiwemo JPMorganChase na Barclays...
  4. Qzam

    JamiiForums Tanzania Tisiogope fursa za mtandaoni

    Hongereni kwa kazi. Kumekuwa na nyuzi nyingi za maulizo na nyingine za kuhamasishana juu ya biashara na njia anuai za kuingiza kipato. Uwepo wa jambo hill unaashiria kiu lakini namba ya kuikidhi hiyo kiu ndo inakuwa ngumu, mashaka ni mengi. Jambo moja tukubali kuwa tutake tusitake mabadiliko...
  5. Qzam

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Ni rahisi sana unaangalia video inaelekeza kila kitu. Unawasha SAA 9jioni unazima SAA 4usiku j3 mpk ijumaa.
  6. Qzam

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Sikushauri kubet. Jifunze kutrade forex kwa kutumia robot kwanza huku ukijifunza manual. Hutapoteza mtaji wako ng'o. Ukihitaji hiyo njoo inbox
  7. Qzam

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

    Kati ya hizo nakushauri kabla hujaweka chukua 5m tu wekeza QZ asset management halafu baada ya siku 50 Fanya maamuzi yako mengine. I guarantee.
  8. Qzam

    JamiiForums Tanzania Shaaban Robert: Kwanini gwiji huyu wa lugha haipewi uzito unaostahiki?

    Inamilikiwa na nani?
  9. Qzam

    JamiiForums Tanzania Shaaban Robert: Kwanini gwiji huyu wa lugha haipewi uzito unaostahiki?

    Huwa najiuliza siku zote sipati majibu, kwanini historian ya gwiji huyu wa lugha haipewi uzito unaostahiki. Kwa aliyoyafanya gwiji huyu sikutegemea kwamba Leo hii kusiwepo hata na taasisi moja kwenye vyuo au taasisi ya serikali yenye Nina lake. Kuna haja kwa serikali kuuenzi mchango wa Shaban...
  10. Qzam

    JamiiForums Tanzania Ndondondo si...

    Huu msemo ni wa kawaida sana. Ukiutafakari una maana nzito sana. Kinachoingia kidogokidogo huchukua muda mrefu ila hakilingani na kinachoingia haraka. Kinachoingia kdgkdg kinadumu sana kuliko cha haraka na mengine mengi. Maana yangu nini, watu wengi wanapenda vitu vinavyotoa majibu ya...
  11. Qzam

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Hakuna muislam(Muhammad akiwemo) atakaye ionja pepo bila mkristo au muyahudi. Narudia bila mkristo au muyahudi kila muislam ni motoni. Search Tips Home » Sahih Muslim » The Book of Repentance - كتاب التوبة » Hadith 2767 a كتاب التوبة 50 The Book of Repentance (8) Chapter: The...
  12. Qzam

    JamiiForums Tanzania Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Nipo WAP 0746271035
  13. Qzam

    JamiiForums Tanzania Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Nipo WhatsApp 0746271035
  14. Qzam

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

    Kama uko serious kuna app inakulipa kwa kuangalia Matangazo ila unajiunga kuanzia $50 unaingiza $1.5 kila siku. Fursa ziko nyingi za uhakika.
  15. Qzam

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Music na Sana'a ni promoter mkubwa sana wa ushoga.
Back
Top Bottom