Na maandamano yali achieve nini
So many new taxes are being implemented and we know all that money is being stolen
Then the electoral commission circus.
Ni michezo na sarakasi bure kabisaaaa.
Basi sasa ni February 2012 hili swala na maisha yamebadilika vipi? Maisha ugenini yanazidi kuwa..... Hebu semeni misimamo yenu imebadilika ama ni ile ile, na kama kuna mmoja wenu amehit jackpot basi hebu tugawie
wote tunawatumia risala za rambi rambi.
Mungu alaze roho zao mahali pema peponi.
hizi habari zote zilinikumbusha wimbo huu wa visiwa
http://likembe.net/Sounds/Marashi Ya Pemba - IOSS (Duku Duku).mp3
Koba kusema kweli njama si kumfukuza mwenzangu. huku marekani umeona wageni wangapi wamepoteza muda wakingoja mambo yawe sawa na yanazidi kuwa complicated?????????? wakati mwingine ni heri utafute haki yako kwingine............... kuna watu ambao bahati yao ni kwingine. na kusema kweli watu...
RAJ PATEL JR shida hana papers. mwenzangu anasema hawezi kuondoka bila papers. sasa anapoteza wakati bila kazi na mwishowe pengine atapata kazi not the degree studied. sitaki kumwongezea stress, lakini kusema kweli nimechoka! :confused2: hata nilimwambia bahati ya kila mtu si marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.