Haina mana unaweza ukawa unaona mbali kiasi gani...tatizo ni kuwa huruhusiwi kutumia title ya DR kabla hujamaliza PhD yako. Ikumbukwe kuwa Mbwambo alikuwa full time student wa KU Nairobi; alipomaliza, wakati anasubiri matokeo, akaripoti kwa mwajiri wake na kupangiwa kazi Dar Campus...hii yote...
Nilichosikia na kushuhudia ni kwamba Jonathan Mbwambo bado hajamaliza PhD. Anasema kuwa iko katika hatua za mwisho kabisa kwa external examiner. Unajua PhD inawezekana kuwa supervisors wako (mara nyingi wawili) wanaweza kuwa wameridhika na kazi yako: lkn kwa utaratibu wa vyuo vyote, lazima...
Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar Business School, hajamaliza bado PhD yake huko Nairobi University...naombeni uelewa wenu katika hili...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.