Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by qwerty3, Apr 6, 2009.

 1. q

  qwerty3 Member

  #1
  Apr 6, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa Wadau Wote: Kwa kuwa naamini kuwa inawezekana naweza kuwa nakosea, na kuwa nimesikia au najua kupitia vyanzo mbalimbali kuwa anayejiita "DR" MBWAMBO, ambaye ni Dean wa Mzumbe University Dar Business School, hajamaliza bado PhD yake huko Nairobi University...naombeni uelewa wenu katika hili. Na kama bado, ina maana gani? na Ina picha gani kwa Mzumbe University kwa ujumla? Hili si jungu...ni utafutaji wa ukweli...

  Mkereketwa!
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145


  Hapana Dr. Mbwambo alimaliza PhD yake pale University of Nairobi, ambaye bado anaisotea ni Elisante aliyekuwa IFM baada ya kugundulika alisoma Finland Mphil. na alivyokuja akadai ni equivalent na PhD lakini wazee wakamshauri bora akasome tena ili akamilishe.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Apr 7, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  samahani ndugu,suppose hana hiyo Phd! unafikiri apewe adhabu gani?? na unafikiri aliemwajiri naye anatakiwa aadhibiwe au??
   
 4. q

  qwerty3 Member

  #4
  Apr 7, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilichosikia na kushuhudia ni kwamba Jonathan Mbwambo bado hajamaliza PhD. Anasema kuwa iko katika hatua za mwisho kabisa kwa external examiner. Unajua PhD inawezekana kuwa supervisors wako (mara nyingi wawili) wanaweza kuwa wameridhika na kazi yako: lkn kwa utaratibu wa vyuo vyote, lazima kuundwe external PhD committee ambayo itasoma kazi nzima, kuutisha "defense" na kutoa verdict. Sasa nilichosikia ni kuwa huyu jamaa amekwama hapo; ameshindwa kumshawishi mmoja wa examiner kuwa amefanya vizuri utafiti wake, hasa upande wa methodology. Haya ni mambo ya kawaida kwa PhD, mana unakuwa hujui unamaliza lini: Issue yangu kubwa hapa ni KWANINI TAYARI ANATUMIA TITLE YA KUITWA DOCTOR (Dr)?????...Anataka kumpendezesha nani? Hilo naamini kabisa Prof Kuzilwa analijua...mana ni mshikaji wake sana: Kuzilwa hana uwezo wa kumkemea, ni kiongozi dhaifu pmj na kuwa Academic Credentials zake hazina wasiwasi.

  Tungependa Mzumbe University watoe Press Release Kuhusu Hili; mana ni sawasawa na mtu kujiita Advocate na kwenda vijijini na kuwadanganya wanakijiji kuwa atawasaidia katika kupitia kampuni yake kwenye matatizo yake ya Ardhi...Huu ni udanganyifu....

  Napenda mtoe michango yenu katika hili...hasa wanafunzi wa wote wa Mzumbe hasa wa Dar Campus...
   
 5. k

  kwesa New Member

  #5
  Apr 13, 2009
  Joined: Apr 13, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mosi, hivi wahadhiri feki tanzania wapo mzumbe tu?
  Pili. Hivi tanzania unaweza kuwa na advanvce diploma ukajiunga na master degree moja kwa moja kama ilivyo saut?
   
 6. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwesa;

  Mzumbe University inawachukua hata fresh graduate wa Advanced Diploma kuanza Masters.

  Hilo halina ubishi. Mbwambo anaendesha shule ya Dar ki biashara sana kuliko kitaaluma. Kuna vijana kibao wamemaliza mwaka jana Advanced diploma na wengine degree wanachukua masters pale. Unamaliza advanced diploama July October unaanza Masters!. Only in Mzumbe University.

  Ubabaishaji mtupu

  FP
   
 7. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Mkuu.
  Lakini hao wa Advanced Diploma unawowazungumzia wanasoma kozi gani? Maana nafahamu fika Kozi kama MBA-Corporate Management Full Time na ile ya Executive wanahitaji uwe na profeesional experience walau ya sehemu tatu ulizowahi kufanyia kazi.

  Labda uniambie hao jamaa wamechukuliwa kwenye kozi kama Msc Entreprenuiship au Markerting Management.Sasa wale referee wawali wanaphitajika watakua wa nini kama mambo yenyewe ndio hayo unayosema FP
   
 8. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Mkuu.
  Lakini hao wa Advanced Diploma unawowazungumzia wanasoma kozi gani? Maana nafahamu fika Kozi kama MBA-Corporate Management Full Time na ile ya Executive wanahitaji uwe na profeesional experience walau ya sehemu tatu ulizowahi kufanyia kazi.

  Labda uniambie hao jamaa wamechukuliwa kwenye kozi kama Msc Entreprenuiship au Markerting Management.Sasa wale referee wawili wanaphitajika watakua wa nini kama mambo yenyewe ndio hayo unayosema FP
   
 9. j

  joseph.andrew New Member

  #9
  Apr 21, 2009
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa,

  Jukwaa la Elimu lazima lipewe heshima inayostahili. Utafiti ufanyike kabla ya kutoa habari, vinginevyo inakuwa majungu na hii haijengi. Kujua kama Dr Andrew H. Mbwambo (jina lake sahihi) ame"graduate" au la ni kiasi cha kuwasaliana na Chuo alichosoma. Ukweli ni kwamba huyu bwana aliashapata gamba lake siku nyingi. Kama unawasiwasi wasiliana na major supervisor wake, Prof Dorothy McCormick, wa chuo cha Kikuu Nairobi, ambaye pia guru wa Value Chain studies duniani.

  Msichanganye watu.

  Msema kweli Daima
   
 10. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jukwb la elhmu linatakiwa lichangiwe na wenye elimu. Kwa msio na elimu muwe mnaomba kuuliza tu ili muelimishwe. Kinyume cha hapo utaitwa mfanya majungu tu.
   
 11. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..mbona nasikia tena jamaa kwa sasa ni associate professor!
   
 12. K

  Kipilime Senior Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii topic ni ya siku nyingi sana na ina lengo la kumshambulia moja kwa moja Dr. Mbwambo. Aliyeanzisha thread hii anasema et Dr. Mbwambo kamaliza PhD yake? Kama hajamaliza anawezaje kuitwa Doctor? Wenye mammlaka za kutunuku hiyo PhD hatujasikia wanasema kuwa hajakamilisha hiyo PhD yake. Jamii forum naona ni sehemu ya waropokaji na wapiga majungu, pasipo hata chembe ya argument. Sasa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. He is now an associate professor. Shame upon you guys wenye mawazo yenu mgango.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 860
  Trophy Points: 280
  Kumbe mzumbe vilaza kuanzia wanafunzi hadi walimu wao?
   
 14. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nlijua tuu asichangie senetor hapa?Mada km hizi lazima atoke kokote huko alipo na achangie..
  Na ukitaka kumvuta zaidi toa mada za ubora wa vyuo tanzania,na kisha upondee chuo chake udsm ndo utamjua vema!
   
 15. Catagena

  Catagena Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ndugu yangu, ninachofahamu mimi ni kwamba ukiwa unasoma PhD, na ukarudi kazini kwako wanafunzi wana-tendency yakuwaita waalimu wao Doctor., hata kama hawajamaliza. Hili litatolewa ushuhuda na watu wengi sana maana ndiyo common practice in most Universities in Tanzania. Hii inatokana na nidhamu za woga za wanafunzi. Hoja yangu hapa ni kwamba, he is off the hook if he is called Doctor by students, we can simply exonerate him from punishment, but if he is using it in all his correspondences, then he is not off the hook and that is a crime which makes him liable for a punishment.
   
 16. K

  Kipilime Senior Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi hujioni kwamba akili zako haziko vizuri. Acha ushamba Senetor, Najua exposure yako ni ndogo sana. Ukija kuipata utaona unachokiamini ni utumbo tu. Shule na uzuzu wa kujaa sifa za kusoma UDSM zinakusumbua. Njoo kwenye mziki wa ajira ndo ujue kilaza ni mtu au chuo alichosoma.
   
 17. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  connection please . . . .
   
 18. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Binafsi natafuta fungu niwapelekee walimu wa mzumbe nifanye chochote nachotaka tena wananifanyia wenyewe maana kwanza kithungu hawajui. Wanachojua ni pesa tu wale
   
 19. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu Kipilime tafadhari na wewe sahihisha usemi wako, hapa JF kuna watu na heshima zao wala si wote ni waropokaji na wapiga majungu kama vile hawana kazi maalumu, tuheshimiane Bwana!!!!!!!!!!

   
 20. K

  Kipilime Senior Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mtumishi Wetu mimi ni mtu Muungwana. Naomba radhi sana kwa wale nilliowakosea heshima. Lakini naomba tusaidiane pale ambapo watu wanaonekana ni wapiga majungu, kwa kuwa tunaona wanachoandika na michango yao. Heshima zenu wakubwa ila sitowakalia kimya hata kidogo wapiga majungu. Heshima tele Mtumishi Wetu

   
Loading...