Recent content by Quinton Canosa

  1. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vitasa vya milango ya mbao tupeni ushauri

    Weka hiyo kitasa
  2. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Kitasa kama hiki nitakipata wapi kwa DAR?

  3. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hauna pesa endelevu achana na mapenzi

    VIJANA WENGI NI WABISHI SANA
  4. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hauna pesa endelevu achana na mapenzi

    Habari za usiku vijana wangu Leo sina mengi ya kuongea ngoja niongee kiufupi.....KIJANA KAMA HAUNA KIPATO CHA MAANA ACHANA NA MAPENZI...UTAANDAMWA NA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA KILA SIKU...... Siku njema
  5. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Attention: Mwanaume jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba ukishafunga ndoa

    Ndio lengo kubwa la kuoa
  6. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Attention: Mwanaume jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba ukishafunga ndoa

    Habari wanajamii forums,hope mko poa Nilikuwa tu nawakumbusha wanaume wenzangu hili jambo hili la muhimu.Ukishaingia tu kwenye ndoa jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba na kutokana na mood ya mtu wako.Huko ukiingia tendo la ndoa ni nadra sana tofauti na ukiwa single maana kila kitu utalipia...
  7. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hauna pesa endelevu achana na mapenzi

    Habari wana JamiiForums Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu wanakimbia. Hii ina maana gani? Hii ina maana Wanawake hawaingii kwenye mahusiano na wewe kwa upendo wa...
  8. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Ipi ni mashine bora na imara kwenye kuchomelea

    Habari wanaJamiiForums Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile
  9. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni Special kwa watu wanatumia akili kidogo

    Habari za usiku wana JamiiForums, Kwa muda sasa nimekuwa nikiyatafakari mapenzi. Nilichokuja kugundua ni kwamba mapenzi ni kwa watu dhaifu. Ukitumia akili nyingi kwenye mapenzi nakuhakikishia hutadumu. Angalia wote waliofanikiwa kudumu kwenye mapenzi, akili zao zilivyo... Sina lengo la...
  10. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

    Ngoja nimuite mtu wa grammar atuhakikishie hapa
  11. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Wapi nampata mwalimu wa Chess

    Nipo arusha kama vipi tuwasiliane
  12. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Wapi nampata mwalimu wa Chess

    Sijakuelewa mkuu
  13. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Wapi nampata mwalimu wa Chess

    Nipo arusha mkuu
  14. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Wapi nampata mwalimu wa Chess

    Habari WanaJamiiForums, Naomba msaada wa kumpata mwalimu wa CHESS maana natafuta mwalimu wa mchezo huu lakini imekuwa changamoto. Msaada wenu please
Back
Top Bottom