Kuna wengine hapa hatukua na umuhimu wa kuzaliwa sema ni vile tu Mungu aliamua tuje kuwa wafariji watu anaowapenda hata kama sisi wenyewe hatuna furaha.
Unaambiwa ukijiua ni dhambi ila maisha yote tunaishi ukiteseka na huku unaona wengine wakiyafurahia maisha.
Not fare kabisa . Kulikua hakuna...
Hilo si swali ni jibu .
Japo watu wanasema hawapendi uswahili ila ni vema kujiridhisha na sehemu unapofikiria kuja kuishi muda mrefu. Hata kama kiwanja hakina mgogoro ila kuna majirani vichomi. Naamini huwezi kukosa fununu za tabia na maisha ya majirani ili ukinunua uwe umejiandaa na usije jilaumi.
🤣🤣🤣 Hii ni Bunju hii
Na hapo bado hujatoa michango ya kwenye jumuiya na bado watataka na sadaka kila jumapili sasa huwa najiuliza kama tunatoa asilimia 100 ya mshahara hizo za kuleta kama sadaka zitatoka wapi achia na kulisha familia nyumbani 🤗🤗
Haya mambo ya imani magumu sana
Yani kwa uandishi huu wa muda hapana kwakweli.
Na hapo wana uzoedu wa kuwa kazini kwa miaka mingi ila hata kuandika majira tu ni tatizo au ni mimi pekee zijazoelewa hizo 11, 12, na 3 asubuhi??
So huwa hutibiwi ukiwa na bima mzee ???
Acha uongo bwana mi toka nazaliwa mpaka nakaribia 40 nimetumia bima maisha yangu yote na hiki unachokisema hapa sio sahihi
Mmejaribu kupita hospital au mochwari. Kuna ndugu yangu alitoweka hapo karibu week nzima hapatikani wala hakuna anayejua alipo baada ya kutafuta sana alikuwa ameshafariki kwa ajali ya gari siku 8 hapo survey na sababu hakukutwa na simu wala vitambulisho ikawa ngumu kutambua yeye ni nani wala...
Bora hata picha zingekua zinakosa ubora ila wanaweka movie mpya.
Wamejaza channel za kihindi ambazo hata hazina tafsiri ya kingereza na hizo channel za lugha ya kiswahili na kizungu ni marudio mwanzo mwisho. Kwa mwezi mmoja unaiona movie mara 3 😏😏😏
Huenda alikua na matatizo ya akili. Mtu na utimamu wake wa akili atembee peku tena mitaani kulivyo kuchafu??🤔🤔
Hao walikua sahihi kumuita hivyo mi ndo ningesema chizi kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.