Na huenda huelewi unachooandika au unaandika kwa mihemuko, kwenye mkopo kuna mafungu mawili ambayo unaweza kupewa yote au ukapewa fungu moja tu kati ya hayo, fungu la kwanza ni tuition fee (ada ya chuo) na fungu la pili ni accommodation allowance (hela ya kujikimu)
Tution fee (ada) mwanafunzi...
Focus na masomo dogo, wanawake wapoo mda wote na wengine wanaendelea kuzaliwa wazuri kuliko huyo, huyo sasa hivi unampenda lakini asikusababishie uje kujuta maisha yako yote
Unasoma halafu unawaza mapenzi, we ni aidha udisco ama ufeli, huyo binti unayemtamani ni chakula ya lecturer mmoja hapo na akigundua unamnyemelea ndo ujue umekwenda na maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.