Recent content by Quick Book

  1. Quick Book

    Taarifa za Ikulu kwa lugha ya Kiingereza za nini wakati sisi ni Waswahili asilia?

    Naona izi Press Release huwa zinatoka mbili mbili mimi sioni kama ni shida as long as na yetu wamatumbi huwa inatoka
  2. Quick Book

    Phone4Sale Offer offer Iphone 7 Plus

    Simu ipo mkuu
  3. Quick Book

    Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Nishati ni National Issue, Kufanya ivo ni Compromise Nationa Security, Tanesco acha iendelee Kuwa 100% State Owned, Itafutwe namna tu Private wazalishe Umeme na wauze kwa Serikali kitu ambacho sio Kigeni mana kuna Kampuni ziliwahi kufanya ivo na still zinafanya ivo pawapo na scarcity ila...
  4. Quick Book

    Mbunge Tarimba apendekeza TANESCO kufumuliwa na kuwepo kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji umeme

    Nishati sio Kitu cha Kuchezea kabisa, Tanesco iendele kuwa State Owned Entity kwa Masilahi mapana ya Nchi, Katika Vitu nyeti Nchi hii ambayo si vya kuchezea ni Nishati acheni masihala wazee
  5. Quick Book

    Jinsi nilivyonusurika kupata HIV

    Ivo Vipimo bado havina Accurancy ya 100%, Umefeli kula nyama bure boya wewe
  6. Quick Book

    Phone4Sale Offer offer Iphone 7 Plus

    Wakuu Simu bado ipo
  7. Quick Book

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Panda kidogo mzee simu ni kama mpya
  8. Quick Book

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Simu haina shida yoyote mzee Storage 32Gb, Location Morogoro
  9. Quick Book

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakuu nauza Iphone 7 Plus Battery heath 100% Simu ina miezi kama minne ivi tangu inunuliwe Haina shida yoyote Bei 350K Fixed
  10. Quick Book

    Kwa hali hii mauaji ya hawa malaya hayatokwisha!

    Kuna mambo ukiyasikia unaweza kuona ni Anasa lahasha, Mzee tafuta tu Hela wewe now ukichoma Kilo Usiku mmoja kuna Mjinga atakuona unafanya anasa kumbe ndo Level yako, Tutafute Hela wazee
  11. Quick Book

    Je, ni sahihi kumgeuza X wako kuwa rafiki yako kindakindaki?

    Kuufanya Muwa Mkongojo au Fimbo ya Kutembelea utaula tu
  12. Quick Book

    Kwa hali hii mauaji ya hawa malaya hayatokwisha!

    We jamaa Wanawake hao walikuwa wanakuzuga tu Kujionesha wao Sio waliwaji ovyo ivo kujiongezea mvuto kwako Na uone kuwa wakikupa mzigo basi uko special sana na utoe kingi zaidi, Hao wanawake wa mabar kwanza ukitaka uwape Mteso wa kiakili we Mpe offer halafu Potea bila kutaka Uchi wake atakusumbua...
  13. Quick Book

    Utofauti wa gesi ya ORYX gesi na kampuni nyingne

    Ni ishu ya Ukubwa wa Brand Sokoni na Reputation yake Packaging nadhani ni Same
Back
Top Bottom