Recent content by queen sense

  1. Q

    Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    Haahaaa kumbe kujitegemea ni process hutakiwi kuamka na kuanza vipi kuhusu yale mabadiliko tuliyokuwa tunayataka binafsi naona kama ndio tumeyapata. #nawaza tuu kwa sauti
  2. Q

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    umenena vyema, nguvu kubwa yatumika pasipo stahili nguvu hiyo.
  3. Q

    AJALI: Basi la Arusha Express lagongana na lori; hakuna madhara makubwa

    Kwa upande wangu sikatai kwamba wapo madereva wazembe wanaostahili kubeba lawama, lakini pia naombatuangalie swala hili la ajali za barabara kwa mapana tukilihusisha na IMANI. Tumuombe Mungu atuepushe na hii dhahama.
  4. Q

    Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

    ni kweli wanaume kazi yao ni kutongoza tongoza tu kutokana na kuweka tamaa mbele, mm ni mfuasi mzuri wa msemo kataa neno usikatae wito hivyo inapofika kutongozana huwa napotezea kwa kutoa namba feki kisha nakuacha na nicheki baadae tuongee kuna sehemu nawahi.
  5. Q

    Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

    unapomprovoke mtu unategemea nini?, sio wote wanaoweza huzihimili hasira zao mambo mengine ni ya kutafakari ukiwa umetulia na kuchukua hatua umaarufu hauji hivi.
  6. Q

    Kwani lazima kuoana?

    sio lazima bro.
Back
Top Bottom