Recent content by Queen ratifa

  1. Q

    Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

    Acha mkuu dunia hii INA mengi
  2. Q

    Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

    Ptuuuiu siku yangu imeharibika mno
  3. Q

    Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

    Na ndio nachohisi kwa kweli japo najipamoyo sio vuzi....isiwe ulikuwa anachambia maji ya kipikia ndio vuzi limeingia sina amani
  4. Q

    Nimekomaa, nimekoma mwenzenu

    Asubuhi hii nimeenda kununua vitafunwa vya kunywea Chai yaliyonifika si madogo kati kati ya kitafunwa nimekutana na nywele.Hapa nimekaa nawaza nywele hii ni nywele ya wapi kichwani,kwapani ,au ni vuzi aiseee mbona tunakula vitu vya ajabu bila kujijua. Mkakati wangu mpya kuanzia Leo sitatumia...
  5. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Wazo zuriii mkuu wacha nifanye himaa
  6. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Sijaolewa kwa nini mkuu
  7. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Si ya maana bila krissmass kwangu muruaaa
  8. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Khaaa mwenzanguuu nalinda visent vyangu vya wizi me mwenyewe naona ngekewa hapa na vyuma hivi vilivyokaza nafanya kazi ya kuzichungulia kila dk 0. Chini ya kitanda sasa naona pm huko sipaelewiiii
  9. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    mkuu iliyonishauri nimeyaelewa yote jitaongea nae aache lakini kuhusu kurudisha hii pesa ndio kwenye ukakasi kidogo najitahidi kuelewa ila nashindwa kabisa
  10. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Dooooh!kweli vyuma vimekaza kina smart mnipe break kidogo huko pm:D:D:Dvilaki vinne tu mnanitoleaaa mijicho kodooo....naipata kwa shida hii sa hizi masubiria kiama changu sijui kazi tapota salama
  11. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Nawaona nawaona Pm kina Mr smart mmeanza kuninyemelea na vilaki NNE vyangu unataka kunismartisha
  12. Q

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Haki ya mama na krisimass hii naridishaje kwa mfano afe kipa afe beki akirudi kitu....hawa wanaume si watu wakuwachekea anaweza kulisha bamia dairly kumbe anahonga vimwali
Back
Top Bottom