Recent content by queen of jungle

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kwenda Arusha kutafuta maisha

    Arusha hakuna mzunguko wa fedha???????
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Andiko hili limeandikwa kwa ustadi wa hali ya juu na mwandishi hajamtetea fisadi JR hata mahali zaidi yakumpa angalizo
  3. Q

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Malumbano yanini tena wanajamii. Tuache kushutumiana tucahape kazi mambo ya kiimani tuyaweke kando
  4. Q

    JamiiForums Tanzania TRA tax assistant officers

    ahsante. Be blessed laut
  5. Q

    JamiiForums Tanzania TRA tax assistant officers

    naomben namba ndugu zangu nimeipoteza bahati mbaya na sijatumiwa email zaidi yakupigiwa simu
  6. Q

    JamiiForums Tanzania TRA tax assistant officers

    nimepigiwa simu ila email sijatumiwa. Tafadhali aliyepigiwa simu anipe ile namba yao niweze kufanya followup ya email kama introduction yakuripot kwenye interview
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ndugu zangu

    LEO JION SAA 11 NILIPIGIWA SIMU YAKUITWA INTERVIEW YA TRA DIMOND JUBILEE TAREHE 12. KWA BAHATI MBAYA MPAKA SASA SIJAPATA EMAIL YAO NA WAMEAGIZA KWENDA NA BARUA YA KUITWA. TAFADHALI KAMA KUNA MTU AMEPIGIWA SIMU ANIPATIE ZILE NAMBA KWAKUA ZILIFUTIKA BAADA YA SIMU YANGU KUDONDOKA NA KUTOKA BETRI...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Tujitokeze kuwatetea Prof Muhongo na Prof Tibaijuka

    Mto mada umeandika kwa umaridadi wa hali ya juu na ni ukweli mtupu. Wanajamii wameishia kusoma kichwa cha habari na kuanza kuropoka
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Atakaeguswa Msaada Tafadhali

    usikate tamaa, tuma maombi mengi uwezavyo, mkumbushe Mungu kila wakati hitaji lako Mungu ni mwaminifu sana na hutoa pia kwa wakati wake. Hujachelewa kupata. Jipe moyo rafiki
Back
Top Bottom