ni kweli wadau kuna baadhi ya watu hz dawa za uzaz wa mpango zinawakataa ila si wote,pia kuna njia nyingi kama mojawapo imekukataa unatumia nyingine,mana kuna condom,vidonge,sindano,kitanzi,vipandikizi na hata kufunga kabisa na hizi njia zote zmehakikishwa ni salama ijapokuwa kipind cha mwanzo...
Jaman Wapendwa Me Ni Nurse Mcdhan Njia Za Kisasa Za Uzaz Wa Mpango Ni Mbaya Namshaur Hyo Dada Aende Zahanat Yoyote Iliyokaribu Nae Atapata Ushaur Mzur Mana Kuna Njia Za Mda Mfupi,mref Na Zakudumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.