Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo.
0759960687.. karibuni
Namtukuza Mungu kupitia mtumishi wake
Mapungufu kila MTU anayo .... Wenda kuandika Ni mapungufu..... But ujumbe umefika... Mimi Na wewe Amna tofauti Dunia tutaviacha hii.... Amna ujuaj
Kwamba ukiweza kuandika vizur
Namshukuru Mungu nilifanikiwa... Iman ikakuwa kuamin injiri ya bwana yesu Kwan kanipa mke mzuri watoto Wazur nyumba Zur Kazi Zur usafiri mzuri Na biashara zur. Bado namwombea msamaha mchungaji gwajima Kwa Mungu Na raisi wetu mpendwa Na wote wenye mamlaka
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.