Recent content by quant

  1. Q

    Nafasi ya Kazi: "Delivery Driver"

    Hawa jamaa sio watu wa kufanya nao kazi hawana maana
  2. Q

    Natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara au kazi

    Nashukuru sana ndugu zangu, napenda kuwafahamisha kuwa nimeshapata MTU wa kushirikiana nae, nitafanya nae kazi kwa nguvu zote, Niwashukuru wote mliochangia tuko pamoja. Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Q

    Natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara au kazi

    Habari yako mpendwa unaesoma Uzi huu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara. Kwa ufupi professional yangu ni accountant (Muhasibu) msaidizi kwa maana Nina diploma ya ACCOUNTS, Nimefanya kazi katika kampuni ambayo ni agent wa maziwa tanga...
  4. Q

    NYUMBA INAUZWA

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kuwa nyumba inauzwa, Nyumba hiyo ipo eneo la kivule, banana dar es salaam. Nyumba hyo ina vyumba vitano ndani, Master bedroom 4 single bedrooms Store Dining Seating room Public toilets inside, Pia ina eneo kubwa kwa nje...
  5. Q

    Nauza biashara inayoendelea

    Karibu mkuu
  6. Q

    NAUZA VIFAA VYA BIASHARA

    Hahahahahahahaha sio njaa kaka, hizo ni bamsi hakuna njia iliyonyooka mungu yu pamoja nasi tupambane
  7. Q

    Nauza biashara inayoendelea

    Haina shida ukihitaji vifaa ninafahamiana na watu wengi utapata tuu hifadhi namba yangu tuwasiliane zaidi
  8. Q

    NAUZA VIFAA VYA BIASHARA

    Bei ndo hzo Mkuu sipunguzi nimefanya fair price hazina utata kabisa
  9. Q

    NAUZA VIFAA VYA BIASHARA

    Hapana haipungui mpya ni laki saba na nusu, hiyo ni fair Price
  10. Q

    Nauza biashara inayoendelea

    Asante kaka tuko pamoja
  11. Q

    Nauza biashara inayoendelea

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga, Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA. Ofisi ipo mwananyala kwa kopa, karibu na kituo cha polisi au uwanja wa mpira kwa kopa, Kwa sababu za umbali...
  12. Q

    NAUZA BIASHARA INAYOENDELEA

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mi ni mfanyakazi wa tanga fresh naish tanga, Ila nina ofisi ya TIGO PESA, M PESA, MAX MALIPO, AIRTEL MONEY NA HALOPESA. Ofisi ipo mwananyala kwa kopa, karibu na kituo cha polisi au uwanja wa mpira kwa kopa, Kwa sababu za umbali...
  13. Q

  14. Q

    Natafuta mtu wa logistics sumbawanga

    Nimetuma CV kaka tayar. Naomba mawasiliano yako au tuwasiliane 0674-637243
  15. Q

    Natafuta kazi ya udereva VIP

    NATAFUTA KAZI YA UDEREVA VIP Mimi ni kijana wa kitanzania naish dar es salaam. Nina elim ya kidato cha nne, ninaongea vizur kingereza na nimepitia mafunzo ya udereva VIP grade II pale NIT mabibo. Nina uzoefu wa kazi hii ya udereva kwa muda wa miaka miwili kumwendesha mbunge wa jimbo la mkinga...
Back
Top Bottom