Recent content by Quadratiq

  1. Q

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Naona siku hz south Africa wanaifatilia sana ligi ya bongo. Japo wengi wao wanaonesha kuipenda sana yanga na wametabiri kuwa yanga atashinda dabi. Wanaweza shangazwa na matokeo ya leo ngoja tuone
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Beki kitasa Abdulrazack Hamza wa Simba Sports Club kukosa Mechi ya Derby ya October 19

    Baada ya kuona bandiko hili nlitegemea kukutana na jibu kama hili hahaa
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Dube wa Yanga ni garasa shtukeni

    He! Dube huyu huyu tunaemjua kawa garasa? yule kiumbe mimi bado namuogopa, ngoja tuone muda utaongea
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Simba isiposhinda Derby ya tarehe 19 itakuwa ni uzembe mkubwa sana kwao

    Sidhan kama Gamondi ana script mpya, kimbinu wale yanga walishaelewana kitambo labda suala la uchovu ninaunga mkono
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

    Very fact huyu jamaa sijui kawaza nn mpaka kutiririsha uzi huu hahaa
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

    Hana hoja huyo, yawezekana anapididiwa
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

    Mmh sidhani kama mtoa maada n mwanaume aliyelelewa na wazazi wawili Na sidhan kama n mwanaume aliyekamilika, nadhan kuna shida mahali Mwisho wa kunukuu
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Laana za kocha Mgunda zimeanza kututafuna.Tajiri mwenzangu Mo tafadhali omba radhi

    Kuna namna nakuelewa, kule Tanga cjui itakuwaje
  9. Q

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    Kweli kabxa itakuwa aibu sana kufungwa tena na utopolo, japo simba ikiingia kwa kutaka kupishana na yanga basi simba lazme atakufa nyingi. Itabid itumike tu njia nyingne mbadala
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

    Tatizo watu hamfanyi research, Mbeya wanapenda mziki wa hiphop sio hyo miziki yenu lain lain. Sasa nyie mnampandisha zuchu & mbosso jukwaani ili awaburudishe akina mwaisa kweli? tumieni akili aisee, hao jamaa wanataka wasanii jamii ya Ney, Roma, J moo etc. Sasa zuchu atawaimbia nyimbo zipi...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

    Mwanaume aliyekamilika hawez oa mwanamke mweny vinasaba na ufeminist. Ni hawa vijana wasiojielewa wanaotaka kuoa mwanamke wa fashion na kusaidiana kutafuta pesa ndio huingia kweny mtego wa hawa mafeminist
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini iPhones zimekaa kishamba sana?

    Sikubaliani na wew kuwa hizo simu zimekaa kishamba ila nakubaliana na wew kuwa kwa sasa hzo simu zimekaa kimkakati. Hizi simu zinakoelekea ni kama wanaume hazitufai kinamna flan kutokana na mazingira yake yalivyo kwa sasa. Ukitumia hzo simu unaonekana nyororo sana na unaweza hisiwa kivingne (D...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anza hata na chumba na sebule. Nyumba kubwa inatesa

    Dah hili andiko linanihusu sana, japo kiwanja changu kimezungukwa na nyumba nzuri ila ngoja nipige hako kastoo kama alivyoshauri mtoa maada then hiyo nyumba ya ndoto yng itafata. Kero za kupanga zimenichosha sana
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Mimi nadhani ni vzr kwa kijana baada ya kumaliza masomo yake arudi nyumban walau wiki kadhaa kupata baraka za wazazi kabla hajazamia mjini kupambana na maisha. Wazazi wengne wanaumia wanapoona mtt wao tangu amalize chuo hajawahi kanyaga nyumban tena. Yawezekana mtu hafanikiwi kwakuwa mzazi...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Bila huyo mwamba kuwepo pale nyuma tungekufa nyingi. Huyo afande n beki bora sana kwa mpira wetu wa kibongo bongo. Ukimtoa huyo unamuweka nani kwa mfano
Back
Top Bottom