Recent content by Quadratic92

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Kiufundi, Kimkakati na Kisaikolojia nautoa kwa Simba Sports Club yangu na naomba uzingatiwe kwa umakini na umuhimu wake mkubwa sana

    Uko sahihi kabisa mkuu, dabi zimekuwa mara kwa mara zitakosa mvuto aisee
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Deni la Taifa halikui kwa kasi kwasababu ya matumizi mabaya

    Una hoja mkuu usikilizwe
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma kuna uswazi kweli?

    Yan dsm na mbeya uswazi ni mwingi sana aisee dah, ikifuatiwa na Arusha
  4. Q

    JamiiForums Tanzania FT Yanga SC 2- 0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | KMC Complex | 28.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Umeeleweka vzr mkuu, na inaonekana una vinasaba vya uelewa na uchambuzi wa soka
  5. Q

    JamiiForums Tanzania FT Yanga SC 2- 0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | KMC Complex | 28.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Vip wadau kuna mabadiliko yoyote ya Yanga kiuchezaji? Tukilinganisha na ile ya Folz
  6. Q

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    kuna namna refa kawabeba yanga, japo hata asingewabeba mie naona hao wamalawi wangekufa tu. Wasingeweza kutoboa hata kwa dawa
  7. Q

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Dah tunakosa uhondo jmn, kwan mpaka sasa hakuna goli?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Dah pole sana mkuu, mikopo ni janga kubwa sana, tuko wengi huko
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Raja Casablanca imetangaza rasmi Kumsajili kocha Fadlu Davis

    Dah hii Inchi ngumu sana
  10. Q

    JamiiForums Tanzania "Njia Bora ya kushinda ni kumdhoofisha mpinzani wako"

    Kuna watu wako nyuma ya uongoz wa Eng. hao ndio hatari kuliko Hersi mwenyew. Hapa kilichobaki ni dua tu
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

    Tutasikia mengi, cha muhimu Fadlu asifukuzwe
  12. Q

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Kwani mhindi kawekaje odds zao huko, nani underdog?
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ahmed Arajiga kuamua Derby ya Kariakoo kesho September 16, 2025

    Huyo mzize kiukweli dah! naona kama atasumbua sana pale mbele
Back
Top Bottom