Habari Wakuu na wenyeji wa humu, Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu awali ya yote.
pili naomba kufahamishwa kwa anaetambua kuhusu hawa Jamaa NACTE je wamekwisha kufanya selection? ama bado? maana naona kimya nisije kuwa nasubiri kumbe walishatoa zamanii, na kama hawajatoa lini...
kumbe sasa kaka watakao kutaarifu ni Necta ama chuo? maana nilikuwa najaribu kutuma online application chuo flani ili nisikose kabisa nashangaa papo hapo naambiwa congratulations na nikifikilia kiko dodoma chakula juu yako kima cha chini kwa siku 2500. nikifikilia na hii Tanzania ya viwanda daahh
Agricultural
then kunauwezekano maombi yako kukubaliwa na vyuo viwili halafu wewe ndo ukafanya ukatazama uende chuo kipi? ama wao ndo wanakuwa wanakudirect utaenda chuo flani
Salama wakuu,
Mimi nimefanya application kwa kupitia NACTE na idadi ya vyuo nilivyohitajika kuomba ni vitatu tu na kweli nimeomba.
Je baada ya kuomba kupitia NACTE nini ninatakiwa kufanya baada ya hapo?
wakuu mimi nilikuwa nahitaji kurudia mtihani wa kidato cha nne kwa shule inayofaulisha vizuri hivyo napenda anaefahamu ada ya Tusiime anisaidie niitambue au shule yoyote ilio vizuri katika maswala ya kurudia mitihani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.