QT Jay
Member
- Jan 25, 2017
- 49
- 25
Habari Wakuu na wenyeji wa humu, Napenda kutanguliza salamu zangu kwenu awali ya yote.
pili naomba kufahamishwa kwa anaetambua kuhusu hawa Jamaa NACTE je wamekwisha kufanya selection? ama bado? maana naona kimya nisije kuwa nasubiri kumbe walishatoa zamanii, na kama hawajatoa lini inakadiriwa watatoa?