Baada ya kuomba vyuo kupitia NACTE, nini kinafuata?

QT Jay

Member
Jan 25, 2017
49
25
Salama wakuu,

Mimi nimefanya application kwa kupitia NACTE na idadi ya vyuo nilivyohitajika kuomba ni vitatu tu na kweli nimeomba.

Je baada ya kuomba kupitia NACTE nini ninatakiwa kufanya baada ya hapo?
 
Wanakudirect Chuo kimoja tu
kumbe sasa kaka watakao kutaarifu ni Necta ama chuo? maana nilikuwa najaribu kutuma online application chuo flani ili nisikose kabisa nashangaa papo hapo naambiwa congratulations na nikifikilia kiko dodoma chakula juu yako kima cha chini kwa siku 2500. nikifikilia na hii Tanzania ya viwanda daahh
 
Nacte wanakutumia taaarifaa luwa umechagiwa chuo flan na pia chuo wataaakutaatf kuwa umechaguliwa chuon kwao
 
QT
kwanza hongera kwa kuapply lakini ss hv kuna competition sana ya vyuo kwahy kama umechaguliwa ni bora angalia tathmini manake kama mm nishaawai apply kwa awamu ya kwanza nikatupwa out lkn wakaja nikachaguliw kwa awamu ya pili......
 
kumbe sasa kaka watakao kutaarifu ni Necta ama chuo? maana nilikuwa najaribu kutuma online application chuo flani ili nisikose kabisa nashangaa papo hapo naambiwa congratulations na nikifikilia kiko dodoma chakula juu yako kima cha chini kwa siku 2500. nikifikilia na hii Tanzania ya viwanda daahh
Chuo gani Dodoma umechaguliwa kwanza
 
Back
Top Bottom