NACTE wanatoa lini selection?

QT Jay

Member
Jan 25, 2017
49
25
Wakuu , NACTE mbona wako kimya? yani hawatoi hizo selection na muda unazidi kuyoyoma. msaada kwa mwenye idea juu ya hili
 
Bado hawajatoa... Nilisikia tetesi kuwa kuanzia. Tarehe 7 hivi mwezi. Wa nne
 
duuuuuhhh sasa mbona kuna vyuo vinaanza masomo tarehe 27 so itakuwaje apo mkuu
Sikia mkuu,, vyuo vimetofautiana kuna vile ambavyo vina muhula miwili i mean first year wanaripoti mara mbili. Mwezi wa nne au wa tatu mwishoni vingine wa saba na. Na wale wa. Mwezi wa kumi... So vile wanavyoanza now ni wale wenye awamu mbili..
 
Back
Top Bottom