Recent content by QssJf

  1. Q

    Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

    Rais wao yaani Rais Benjamin Natanyahu ni Rais pekee Duniani aliyerudia kuwaongoza Waisrael baada ya kipindi chake cha mwanzo kumalizika.Rais huyu anaongoza Duniani kwa kuwa na IQ kubwa inayofikia 180 units binadamu anayefuatia ana IQ 165 units.
  2. Q

    Try this riddle if you have a great IQ

    My Wife is Theresa's daughter and not me who marry with Theresa's daughter.
  3. Q

    Yusuf Manji; Mmoja wa Watu Walioficha Fedha Uswisi

    The issue is legality and motive behind "kuficha-to hide" and "kuweka-to deposit"the formal rose more questions than the next why hiding? It should be remmembered that legal transactions associates with legal taxation.So it is obvious that allure challenge tax eversion.
  4. Q

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Read again between the lines "The RC has power to arrest any person who commit or in his believe is likely to breach law or disturb peace and tranquility in his area of jurisdiction...."
  5. Q

    Try this riddle if you have a great IQ

    Kwa kiswahili tunaweza kutafsiri hivi" Kama binti wa Teresa ni mama wa binti yangu.Je mimi ni nani kwa Teresa? 1.Grandmother -Bibi 2.Mother- Mama 3.Granddoughter-Mjukuu 4.Doughter-Binti 5.Teresa. Sasa tafakari Mama wa binti yangu si ndo mke wangu.Sasa huyu mke wangu ambaye amezaliwa na...
  6. Q

    Protokali: Kwanini Rais wa Uturuki, Erdogan alipokelewa na Waziri Mkuu badala ya Rais Magufuli?

    Sasa naanza kuona umuhimu wa somo la siasa kurejeshwa mashuleni kama ilivyokuwa miaka ya 70 ili kuwaanda vijana kufahamu masuala muhimu wangali wadogo
  7. Q

    Januari ya mwaka huu

    Hivi ni mimi tu au naninyi wenzangu mmgundua.Mbona Januari ya mwaka huu ni ndefu kupitiliza. Nawasilisha
Back
Top Bottom