Recent content by Qifrishy

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya macho jijini Mwanza

    Wakuu kwema humu. Naomba kupata maelezo kuhusu hospitali nzuri ya Macho katika jiji la mwanza. Nina mzazi wangu nataka akapate huduma ya macho. Shukrani sana.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Majambazi wawili wauawa katika tukio la ujambazi Sinza

    Walimvamia dada mmoja anaendesha biashara ya salun. Walimvamia na Panga huku mwingnr ana Bastola (haina risasi lakini), wakamuamrisha atoe ela yule dada akawapa kiasi cha laki 5,simu pamoja na pochi. Sasa walipotoka ndo dada wa salun akawafata nyuma akipiga yowe la "Wezi hao". Wawili wakadakwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Brad na Priya ndo habari ya mjini, wameanza kufanya jogging pamoja. Sizwe na Zukisa nao wapo kwny matatizo, Sizwe akiwa kwenye kampeni zake za kuwatetea wachimbaj wapate maslai mazuri huku wakiwa na mpango wa mgomo wa amani. Zukisa anachukizwa na hizo kampeni kwani Sizwe ameungana na Barker...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano ni raha sana

    Hahahahaha Dah Live Long Wajasi...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Oktoba; DEAD AID (Kwa nini misaada sio suluhisho kwa nchi masikini na nini cha kufanya)

    mbona inagoma kusubcribe ina sema "Please enter at least NaN characters".
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Wordpress

    Habari wakuu. Nina website yangu imetengenezwa kwa Word press..sasa kuna kitu kinaitwa bots huwa nakiona kwa chini pamoja na visitor. ningependa kufahamu bots ina maanisha nn? Na Pia ni plugin gani nzuri kwa ajili ya ku count watu wanao visit website maana hii niliyo nayo sielewi unakuta post...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Naona Priya kapagawa kazi haziendi. Kaenda kumvaa Zak kaishia kumsalimia tu na kumuulizia Rajesh.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Barker nae kapata wakumtetemesha... Maana The Haines nao wana machafu kibao tu compare na Sibekos...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Naona Priya kama Haamin haamin hivi...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Duuh Rajesh kafunguka kwa Priya kuwa ametembea na mwanamke mwingine....
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    its time to accept that the Sibekos are the only show in town..
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Barker na Georgie wanaunga nguvu kupambana na Sibeko family...hapa patamu sana. hii Scene ya Barker na Papa G wanapga kinywaji huku wanapga stori imekaa poa sana...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Gharama za kipimo cha MRI

    Eneo la Goti.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu PS 4.

    Shukrani. ngoja nifanye hivyo alaf nitakupa feedback.
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hahaha ndo maana anapenda aitwe Zake.
Back
Top Bottom