Wakuu kwema humu.
Naomba kupata maelezo kuhusu hospitali nzuri ya Macho katika jiji la mwanza.
Nina mzazi wangu nataka akapate huduma ya macho.
Shukrani sana.
Mkuu naomba unithibitishie kama hawa madaktari bado wapo..please msaada wako ni muhimu sana.Madaktar wote wa macho wanatoka kcmc ww
Mkuu tafadhali naomba taarifa kama hawa madaktari bado wapo.Madaktar wote wa macho wanatoka kcmc ww