Recent content by QasraNet

  1. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

    Nyerere hakuwa Mungu na yapo mengi alikuwa anakosea na mengine hakuwa anayajua. Usiwatishe wenye uthubutu wa kufanya tofauti. Kiufupi hali tulonayo sasa kiuchumi na kimaisha yeye amechangia pakibwa kuzidi kuzorota. Yaani sisi sio wa kuzidiwa kiuchumi na nchi kama Singapore na Malaysia. Nchi...
  2. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye vitabu vyetu haziwekwi picha sahihi za mashujaa wa majimaji?

    Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
  3. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Haka ukiwa na Dual Core Processor, with Ram hata DDR 2 GB 4 inapiga kazi
  4. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Shida ya laptop ni ngumu kuongeza iwe na PCI Ethernet zaidi ya moja.
  5. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Intel Pentium processor 4 cores 3.5 Ghz 8 Gb Ram DDR 3 NVME SSD 128 3 GIGABIT ETHERNET PORTS
  6. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Kudadadeki. Never kaka never. Hakuna CCM anayetambua uwepo wa Tanganyika. Mimi upinzani, yaani ni mpinzani tuu nature yangu hata kama wakachukua serikali watu wengine nitakuwa mpinzani tuu 😂😂. Sababu naamini bila upinzani hakuna Demokrasia.
  7. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Hampendi jina lifike mbali 😂😂😁😁
  8. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    😂😂😂 Basi tuu yaani...
  9. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Tunatafuta usingizi wa mchana kwenye maofisi ya watu 😂😂😂.
  10. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  11. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Hahahahaha ukiyaacha yanakuacha maana kila siku yanakuwa updated.
  12. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Kwa huku nilipo fiber bado haijafika. So source ya internet kwangu ni Airtel na Yas. Zote mbili nazilisha kwenye Router 1 (nimeConfigure Multiple WAN).
  13. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
  14. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Tumia Router za Fiberhome kama Access Point (AP)

    Ndiyo kaka ndo inavyokuwa kwasababu zenyewe hazijaundwa kuwa AP so sisi tunavyoitumis inakuwa ni kama bridge kwenda kwenye Router zetu. Ukitaka kuAccess portal yake ni lazima uiDisconnect from being a bridge ndo ufanye mambo yako halafu inakuwa fresh yaani. Ndo hivyo hivyo hata mimi ninavyoishi...
  15. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Tumia Router za Fiberhome kama Access Point (AP)

    Sijafanya hayo majaribio maana siaminigi kwenye hizo namba za umbali.
Back
Top Bottom