QasraNet
Member
- Jan 3, 2018
- 39
- 55
- Thread starter
- #21
Ndiyo kaka ndo inavyokuwa kwasababu zenyewe hazijaundwa kuwa AP so sisi tunavyoitumis inakuwa ni kama bridge kwenda kwenye Router zetu. Ukitaka kuAccess portal yake ni lazima uiDisconnect from being a bridge ndo ufanye mambo yako halafu inakuwa fresh yaani. Ndo hivyo hivyo hata mimi ninavyoishi nazo.hii kitu nimefanya mimi,kuna tatizo lipo sijajua linatokana na hii extrnal router au ni company yenyewe ya fiber ndio wamelimi...ipo hivi mimi nina tumia fiber ya hawa netsolution na extrnal router natumia ya airtel zile za kwanza..issue inakuja ili niweze kulog in kwa hii router ya pembeni lazima nijidisconect kwenye main router kwanza ndio napata acces ya kuingia.. then nikishamaliza ndio ni restart hii kitu inaniboaa mbaya.. je ndivyo inavyotakiwa iwe???