Recent content by qarem

  1. qarem

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Kama unampenda huyo binti nenda na hakikisha una hela ya kutosha bila hivyo utaenda kulia na usionewe huruma!! Kila kitu kwao ni gharama!! Japo huwa "wanatorosha" hii mbinu wanaitumia sana washikaji ambao bado hawajajipata kiuchumi then baadae mambo mengine yatafuata.
  2. qarem

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Hivyo vizee ni vihuni vya zamani kwanza kwa ujumla wake hio familia umeilea sana wengine wasingefika huko.. kingine hakuna ubaya,ubaya ulikua kumpiga mimba ila kwakua ulikua ushaachana na dadake huyo G ungeoa fresh tu,!!japo naona complications ni nyingi ila haikua na ulazima kufika kote huko...
  3. qarem

    Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Usiogope chalii...Ugaidi ni propaganda za kimarekani kuudhoofisha uislamu,hilo lengo lenu halitatimia maana tupo upande ambao tunaamini kuwa..mkitushinda tumeshinda,na tukishinda dhidi yenu tumeshinda pia!
  4. qarem

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Acha kuwa insecure kajifunze upate madini mapya usibakie kukaririshwa tu maandiko ..acha undondocha!
  5. qarem

    Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Milio milio milio imerudi 😆😅
  6. qarem

    Iringa: Natafuta mke, mwakani nataka nioe

    Ndoa ina changamoto nyingi usikurupuke
  7. qarem

    US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

    Safari hii Vita ya Ukraine na Urusi sio sababu?? 🤔🤔🤔🙌💔 Maana ni moja ya sababu zilizotolewa hapo kati,baada ya mambo kuharibika! Ujinga ni janga kwa taifa letu tuna safari ndefu mno.
  8. qarem

    Ndoa yangu ina hali tete

    Wanawake kuna muda wana kaus*ng* fulani hivi ambako ni ngumu kukavumilia.
  9. qarem

    Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Katika andiko lako ukweli upo asilimia 7% tuh
  10. qarem

    Nimeponea tundu la sindano kufa. Serikali ichukue hatua, kuna mlipuko unaua kimya kimya

    Naliona hilo Mafua yanakuganda hata wiki mbili! Lakini pia kuna kaugonjwa sijajua kama kameisha o not ila ni full kuendesha bila kujulikana unaumwa nini.
  11. qarem

    Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Milio milio mingi na tutaendelea na dozi hii huu.
Back
Top Bottom