Recent content by QALLI MIZOH

  1. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Msaada iphone 4s inahitaji apple ID

    Mimi mbona nilikutana na mchina mmoja alinifungulia, ila ilinitoka kama 200k ivi..?
  2. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa za kipolisi zitakazotumika sept 1,ziwe za kibusara zaidi,waepuke kudhuru au kuua../

    Kwa polisi hawa wakibongo wenye stress kibao na madeni mitaani? naiona kesi ya Mwangosi {R.I.P} ikija kwa kasi ya tsunami.
  3. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

    ......ongezea , mitambo na mwenye mali.
  4. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

    UWONGO. Kuna changamoto gani za kupata picha katika mkutano mkubwa kama ule?
  5. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais kuwa makini na ziara nyingi za kuelekea kanda ya ziwa

    Ukweli uatabaki uleule. influence UKABILA.
  6. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Wanawake 300 wa Kenya waandamana kuwafuata waume zao Arusha

    Weka picha au video clip tuwaone, siyo unakuja na maneno matupu.
  7. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Rai hai:Serikali, Polisi na CCM hudhurieni kikao kijacho cha Tume ya Utawala Bora

    CCM walikula kona,? hata hivyo ni wepesi ktk hoja na ngekuwa aibu kwao
  8. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

    Ushuhuda #1 Hatari MziziMkavu vipi kuhusu hili.
  9. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

    Inatibu maradhi yote? including nguvu za kiume? but sijajua kama nguvu za kiume ni maradhi au?
  10. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

    MziziMkavu
  11. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

    Ni dawa ya nini hii?
  12. QALLI MIZOH

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samahani mke wangu

    Hii ni riwaya au?
  13. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa jambazi kwa muda mrefu, nahitaji kuokoka sasa

    Ukiota pia unavuliwa boxer uje tena kutusimulia
  14. QALLI MIZOH

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napendwa kweli na wake za watu

    Kwani hao wake za watu wanakupendaje?
  15. QALLI MIZOH

    JamiiForums Tanzania Lowassa aitikisa Ukonga, nashauri Rais Magufuli afutilie mbali mikutano ya siasa

    Ila kwa mujibu wa mtukufu haipo.
Back
Top Bottom