Bajet inategemea na media au msanii gani wakukupa promo ila bajet ya uhakika angalau weka milion 20 tafuta adi vipage vya udaku na msaani wa kawaida ila ukitaka msanii mkubwa wale wanakula kuanzia milion 200.
Kiasi inategemea na ukubwa wa kampuni ndo maana watu kma azam wao bidhaa zao wanatangaza kwa kutumia tv yao au timu yao.
Pili kwa mtu ambae anaanza lazima utafute watu wenye ushawishi.
Arusha haiwez kuifikia mwanza hta nusu mzee kma arusha wanajisifia kwa utalii hta mwanza wao pia wanajisifia kua kituo kikuu cha mzunguko wa pesa kanda ya ziwa yote
Arusha kuifikia mwanza ngumu sana na haitoweza
Acha kulalamika c bora unakua na uhakika na mwanao yupo ndani tuu je angakua cha pombe ungesemaje cha muhimu muache tuu au asbh toka nae kma offc yako inaruhusu uwe unamkeep busy thn jion anarud amechoka japo htacheza lkn sio sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.