Ni muda gani kipimo Cha HIV kinaweza kudetect tangu ujamiiane na Muathirika? Nina hofu Sana

Status
Not open for further replies.

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Habari zenu wakuu!? Niende moja kwa moja kwenye lengo langu

Nahitaji kuuliza kuwa.

Ni Muda gani kipimo Cha HIV kinaweza kudetect tangu ujamiiane na muathirika??

Je, Possibility Ipo ya Kutoathirika Baada ya kujamiiaana na muathirika?

MREJESHO:
Asee! Nashukuru kwa ushauri wenu ila nimshapata suluhisho kuwa yeye sio muathirika na nimemuomba nipime nae akakubali....Siri ya kufanya yote Yale Ni kuwa amefanya Kama zawadi kwangu kumbe anatarajia kuingia kwenye ndoa na mwanaume mwingine na nilikuwa mpenzi wake kwa Muda mrefu ila nilikuwa mbali nae kwakuwa nilikuwa namalizia masomo (A Level) .....hapa amenitoa hofu ila asee dozi aliyonipa sitawahi kumsahau na nimekoma pia....

NB:Tuache Zinaa Jamaani Hali niliyopitia Mimi Ni hatari na nusuView attachment 1501731
 
Inategemea na Kinga yako... Pia inategemea aina ya vipimo.

Kama Uko vzuri yaan Kinga yako iko imara kuanzia mwezi mmoja + utapata majibu..... na utakua umeshapata dalili za awali kama kiashiria cha maambukizi wakati ambao Kinga ya mwili inapambana dhidi ya Adui.

HIV ni kirusi kigumu kupata kwa ngono ya mara moja toka kwa Mwathirika,hapa itategemea ,Mgonjwa anajijua? Yupo hatua gan ya maambukizi? Yupo kwa dawa? Ngono ilikua yakusimamia kucha? lkn huchukua pia Sekunde moja kubadili maisha yako.

Tumia Kondomu mkuu, kondom inazuia maambukizi HIV.
 
Inategemea na Kinga yako... Pia inategemea Aina ya vipimo.

Kama Uko vzuri yaan Kinga yako iko imara kuanzia mwezi mmoja + utapata majibu..... na utakua umeshapata dalili za awali kama kiashiria cha maambukizi wakati ambao Kinga ya mwili inapambana dhidi ya Adui...
Nani atumie condom?
 
Habari zenu wakuu!? Niende moja kwa moja kwenye lengo langu

Nahitaji kuuliza kuwa.

Ni Muda gani kipimo Cha HIV kinaweza kudetect tangu ujamiiane na muathirika??

Je, Possibility Ipo ya Kutoathirika Baada ya Kujamiiaana nae muathirika?
Saa 48 virus wanaonekna
 
Mkuu tangu umesex naye huyo mwanamke zimepita siku ngapi? Kama hazijafika siku 3 kuna dawa za kutumia ili kuzuia maambukizi zinaitwa PEP, ukienda kwenye mafamasi makubwa watakusaidia jinsi ya kuzipata au kama una rafiki yako anafanya kazi kwenye hospitali za serikali atakusaidia jinsi ya kuzipata
 
Mkuu tangu umesex naye huyo mwanamke zimepita siku ngapi?kama hazijafika siku 3 kuna dawa za kutumia ili kuzuia maambukizi zinaitwa PEP,ukienda kwenye mafamasi makubwa watakusaidia jinsi ya kuzipata au kama una rafiki yako anafanya kazi kwenye hospitali za serikali atakusaidia jinsi ya kuzipata
Hizo hazipatikani famasi, mpaka hospital I, au kituo Cha afya!
 
Hizo hazipatikani famasi, mpaka hospital I, au kituo Cha afya!
Yes najua ishu iko hivi ukienda huko hospitali haziruhusiwi kutolewa bila kibali, yaani kanuni iko hivi ukisex bila kinga ukajishuku ukienda kule wanakwambia ukamlete huyo mtu uliyesex naye wote mpimwe baada ya hapo ndipo utafanyika utaratibu wa kupatiwa hizo dawa.

Sasa nimetaja pharmacy kwa maana ya kwamba wale wafamasia wana connection ya kujua amtafute dokta gani wa hospitali ili atoe msaada kuliko ukienda wewe mwenyewe hospitali mlolongo wake ni mrefu
 
yes najua ishu iko hivi ukienda huko hospitali haziruhusiwi kutolewa bila kibali,yaani kanuni iko hivi ukisex bila kinga ukajishuku ukienda kule wanakwambia ukamlete huyo mtu uliyesex naye wote mpimwe baada ya hapo ndipo utafanyika utaratibu wa kupatiwa hizo dawa.

Sasa nimetaja pharmacy kwa maana ya kwamba wale wafamasia wana connection ya kujua amtafute dokta gani wa hospitali ili atoe msaada kuliko ukienda wewe mwenyewe hospitali mlolongo wake ni mrefu
Muhimu kumleta lakini sio lazima! Mfamasia sidhani Kama atakuwa suluhu hapo! Acycrovil na ndugeze hapo kale zilikuwa zinapatikana over the counter lakibi sio Sasa I see!
 
Sawa inategemea na mtu anawazaje,mimi binafsi huwa sipendi kwenda kuchoreka hospitali. Kuna siku iliwahi kunitokea incidence kama hii ya mtoa mada nikakimbilia pharmacy kujieleza.

Yule mfamasia akakimbia chap hospitali akaongea na rafiki yake akampatia akaja nazo fasta nikampoza elfu 10 nikasepa zangu kimyakimya
Muhimu kumleta lakini sio lazima! Mfamasia sidhani Kama atakuwa suluhu hapo! Acycrovil na ndugeze hapo kale zilikuwa zinapatikana over the counter lakibi sio Sasa I see!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom