Recent content by Pyremethazine

  1. Pyremethazine

    JamiiForums Tanzania Dj wa kipindi Cha Playlist UTV anazingua sana

    Aisee kuna sisi tunachelewa sana kurudi nyumbani hivyoo ata muda wa kukaa kuangalia Tv inakua shida. Sasa binafsi hua mara nyingi najikuta natazama taarifa ya habari ya UTV Ile ya Azam saa 6 marudio ya Ile ya saa 2. Baada ya taarifa ya habari Kuna kipindi kinafuata kinaitwa Playlist.Host wake...
  2. Pyremethazine

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

    Sizitaki mbichi hiziiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. Pyremethazine

    JamiiForums Tanzania Kero ya uunganishwaji holela wa umeme kwenye masoko ya jioni jijini dar es salaam

    Habarini wakuu. Kumekua na masoko mengi jijini dar es salaam. Ambayo kutokana na kadhia wanazopata wakati wa mchana kutoka kwa mamlaka za jiji. Wafanyabiashara wa masoko hayo. Wao wameamua kufanya biashara zao nyakati za usiku. Hivo kua na uhitaji wa umeme katika maeneo hayo. Lakini pamoja na...
  4. Pyremethazine

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangala tena, huyu jamaa sijui shida nini

    Sadio azizi ki
Back
Top Bottom