Recent content by Pyong-Yang

  1. P

    Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

    Hii kitu toka nimeifahamu mwaka 5 huu sijawahi jutia. Ukiinywa iwe umejipanga Sana kuanzia akili na afya ya mwili. Kitu inaitwa "Black & White" alcohol content 40%.
  2. P

    Yanga yamuuza Aziz Ki Kwa Bilion 1.8 kwenda Wydad Casablanca

    VIVA YANGA , hii ndo faida sasa ya kujua soka la kisasa.
  3. P

    TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

    Hongereni sana mkuu Maxence Melo na team nzima ya JamiiForums . Tutegemee huduma nzuri zaidi na zenye viwango kuliko ilivyokuwa kipindi cha nyuma. Yajayo yanafurahisha.
  4. P

    Iringa Municipality: The Photo Gallery

    Maeneo ya NMC pande za kwenda Gangilonga.
  5. P

    Iringa Municipality: The Photo Gallery

    Muungano shule ya msingi Iringa.
Back
Top Bottom