Recent content by pwilo

  1. pwilo

    JamiiForums Tanzania Naisubiria kwa hamu El Classico ijayo tuwakande Real Madrid. Hilo pira litakalopigwa na Barça sipati picha. Rodri ndani!

    Mourinho aliwafunga na kuwasumbua Barcelona ya kina xavi na mesi pamoja na iniesta hawa Barcelona hawa si utopolo kwa Madrid
  2. pwilo

    JamiiForums Tanzania Draw za Simba msimu ujao zitatunyima ubingwa kwa mara nyingine

    Kocha wa simba haamini kwenye striker tangia last season maana hata mwalimu anatokea benchi
  3. pwilo

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ahadi za Mo

    Ujenzi umeshaanza pale jangwani
  4. pwilo

    JamiiForums Tanzania Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Hyo ndio shida ya wabongo analazimisha kila kitu kiwe kama anavyodhani ila mimi nimetoa mtazamo wangu.
  5. pwilo

    JamiiForums Tanzania Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Sio kwamba siyajui mambo hayo ila tu mimi sijawahi kwenda ila kwa maisha ya watanzania hakuna ambaye hajapitia au kuona mambo hayo katika jamii ni vitu vya kawaida.
  6. pwilo

    JamiiForums Tanzania Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

    Hizo zinaitwa emerging contaminants :- Microplastic Volatile organic matter (zile rangi wanazotumia kupuliza na dawa kama rungu) That's is the shortest way to cancer.
  7. pwilo

    JamiiForums Tanzania Eti UKIMWI ni ugonjwa ? 😆 mtu anagamba public kabisa na kudai UKIMWI ni ugonjwa !! Nani alikufa na ukimwi?

    There are only two diseases on the earth inflammation and mucus lining over. Hayo mengine ni biashara tu ya wazungu
  8. pwilo

    JamiiForums Tanzania Anayejenga nyumba ya kuishi anazika pesa,je aliyepanga apartment analipa kodi kwa dola anafanyaje?

    Ngoja siku ukizeeka uje unyanyaswe kwenye nyumba za watu
  9. pwilo

    JamiiForums Tanzania Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Sijawahi kwenda kwa mganga maisha yangu yote nikiwa na jambo Natoa sadaka natia nia . Kwenye gari nampisha mzee na mjamzito na mwenye uhitaji hizo ndo sadaka zangu. Tangia darasa la saba mpaka form one na chuo ni dua tu na zimesaidia sana kwakweli
  10. pwilo

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote, hili linatuhusu kwenye malezi!.

    "Wazazi wa zamani walikuwa wanajua kusimamia watoto lakini hawajui kulea Wazazi wa sasa hivi hawajui kusimamia watoto lakini wanajua kulea watoto"
  11. pwilo

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Hyo kawaida wanaume tunacheza pungufu kina watu kama kina uncle T, na juma lokole wanatakiwa kuwakilishwa wale. mi siogopi kutongoza siangalii umri kuna mshangazi mmoja unafanya kazi oman ilikuwa tunaheshimiana hivi hivi ila sasa hivi akirudi lazima anitafute na kila kitu analipia yeye lakini...
  12. pwilo

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume wenye wazazi kumbukeni na wazazi wenu sio mna base upande wa wake zenu tu

    Wanawake wa kiswahili wana roga si mchezo usilaumu sana mkuu
  13. pwilo

    JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Ogopeni wanawake na moto
  14. pwilo

    JamiiForums Tanzania Masikini Hamphery Polepole, uzalendo umemponza. Hakuna hata mtanzania anemuulizia shujaa huyu.

    Hapana hatujamsahau ila kwenye ukombozi hvyo ni vitu vya kawaida sana
  15. pwilo

    JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu una uhusiano wa moja kwa moja na jamii ya Siri (wajezi huru)

    Sio kwenye mpira hao ndio wanahusika na tuzo duniani na michezo mbalimbali mpaka wana siasa ndio kwao hko.
Back
Top Bottom