Na asiwekw afkumi kwa maramoja. Aweke hata buku mbili mbuli awamu tano tofauti(kila baada ya dkk10/15 hv). Ili njia ya kutoa ihame toka Tigopesa iende kwa Wakala
Unataka mawakala wakuoneshe ushirikiano wakati na wewe hukuonesha ushirikiano kwa kudeposit kupitia wao?? Hakuna wakala atakayekusaidia hapo. Na epuka sana kutumia njia za Tigopesa sijui Mpesa. Zinaondolewaga mara kwa mara. Tumia mawakala
Simba wanaona wivu sana Watu wengine wakifungwa na Yanga. Kwani mnataka muwe mnafungwa pekeyenu??? ??? Kwasababu mmefungwa mara nne mfululizo basi mnadhani nyie ndio wake halali wa Yanga? Hamtaki na wengine waliwe???? Mtulie kila mmoja atafungwa zamu yake ikifika. Hii ni ndoa ya kiislamu. Mitala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.