Habari yako mkuu ..
Passion bado unazo??. Na kama unazo
Upatikanaji wako ukoje nakusudia uzalishaji wako ningependa kujua hivyo ili tuonge biashara. Na kama itawezekana naomba nambari yako ya sim tuonge zaidi.
Habari yako mkuu..
Vipi passion bado unazo?
Na naweza kupata more details zake aina gani unayo??.. na kwa wingi gani naweza kupata namaanisha idadi ton??na kwa kila mda gani unakua nazo.. na bei pia kama nikiwa nachukuwa kwa wingi jee.. utanipa punguzo bei nzuri... na picha kama zipo...
Mkuu asante sanaa nitajaribu hivyo ila nilikua na wasiwasi kwa huku kwetu sisi watu wa visiwa tumezungukwa na bahari. Ila nitajaribu nashkuru sanaa kwa msaada wako
Wadau habari za mjengoni naomba niulize wataalamu wa vitunguu saumu.. kwa kanda ya pwani vinakubali kulimwa mm nipo zanzibar naomba ushauri au maelekezo kwa anaejua anisaidie tafadhali.
Ahsante
Jamani wakuu waliolima vitunguu thom (saumu) tusaidieni jamani na sisi tupate elimu ya kujua jinsi ya kulima. Hekari moja kilo ngapi zinahitajika kupanda.
Changamoto zake zikoje.
Udongo wa aina gani unakubali mpaka mavuno yake ahsanteni
Aaaah... inamaana mshamba imekuuma sasa ww jee ulivyoniambia nimetumwa na mganga wangu inamaana mm mshirikina sasa lipi tusi kubwa hapo mkuu mshambaa au mshirikina...😆😆😆
Ndugi yangu acha ushamba iliki za kijani zipo na nyingi zao hutoka india ila nimesikia tanzania wameanza kulima na wao na kama hujii iliki kijani ina bei kubwa kushinda hii ya kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.