Kuku chotara aina ya kuroiler, wanapatikana sasa Mbeya na Songwe

Helicobacter pylori

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
419
277
Kuku hawa si wageni machoni na masikio pa wengi, hasa wafugaji, wakulima na wajasiriamali inawezekana ukawa umepata fursa ya kuwafuga, kuwasikia mahala popote wakizungumziwa, na hata humu JF kuna baadhi ya uzi zimeanziishwa kuwaelezea ama kuwaulizia.

Kuku hawa hawapo mda mrefu kwenye soko la Tanzania kulinganisha na Aina fananishi ya Sasso ,kwa hiyo kuna kundi la wafugaji hawafahamu ama hawajapata fursa ya kuwafuga kuku hawa.

AKM GLITTERS COMPANY LIMITED – DSM, Inayodhamana ya kutotolesha, kusambaza vifaranga na kutengeneza chakula cha kuku hawa, kussimamia hali na huduma za kuku hawa wawapo kwa wafugaji, Ingawa wamekuepo watu wakijihusisha na usambazaji wa vifaranga na mayai ya kutotolesha ya hawa kuku kwa Muda sasa toka Uganda, Kenya nk.

Vifaranga Vilivyototolewa na kusambazwa na AKMG ni uzao (kizazi) wa kwanza cha wazazi asili (F1)
KUROILER ni aina ya mbegu ya kuku chotara ambao asili yao ni inchini India.

Sifa

1. Wanaweza tumika kama kuku wa Nyama, Mayai ama Wazazi.
2. Wanafugwa katika mifumo yote ya Ufugaji (Huria, Nusu huria na Ndani)
3. Wanastahili Magonjwa na Hali ngumu ya kimazingira.
4. Wanauwezo wa kuchunga (kujitafutia chakula/Uchokoraa)
5. Wanakua haraka
6. Wanaanza kutaga mapema (Miezi 4.5-5)
7. Wanataga mayai mengi (150-200/Mwaka)
8. Majogoo hufikia kg 4-6 ndani ya miezi 5-9 wakifugwa kama kuku wa nyama.

Kampuni imetengeneza utaratibu ambao mfugaji ananunua kifaranga cha kuanzia umri wa mwezi mmoja na SIO CHINI YA HAPO.

Wafugaji maalumu (Brooder Unit) ndio wanahusika na jukumu la kulea vifaranga kuanzia umri wa siku moja mpaka mwezi mmoja (Siku 28). Ndani ya muda huo Wanakua wamepatiwa chanjo za Magonjwa yote Muhimu, Wamelishwa chakula Bora kwa ajili ya Ukuaji na kutimizi mahitaji yao Muhimu ya mwili.

Kwanini mwezi mmoja?.

1. Kurahishisha na kuhakikisha utoaji wa chanjo za magonjwa yote muhimu (Kideri - Newcastle Disease, Gumboro - Infectious Bursar Disease na Ndui-Fowl pox ).
Chanjo ya Mareck’s Disease (Ugonjwa wa kupooza) hutolewa wakiwa na umri wa siku moja.

2. Kupunguza gharama za utunzaji na uleaji wa vifaranga (Brooding)

3. Kuepusha hasara ya vifo vya vifaranga ndani ya Mwezi mmoja

4. Kupunguza muda wa uleaji na kuhudmia kabla hawajaanza kutoa mazao (Mayai au Nyama)

5. Humuongezea mfugaji tija kwa kukuza kuku wengi.

Kwa mfugaji atakaye nunua kuku hawa watasajiliwa ili kurahisisha ufuatiliaji wa Maendeleo ya kuku na Kuwakumbusha muda wa kurudia chanjo ya Kideri na Dawa za Minyoo.

Huduma za kiugavi, matibabu pamoja na Ushauri juu ya hali, Afya, Mazingira na utunzaji wa kuku hawa hotolewa pasipo gharama ya ziada.

Upatikanaji wa kuku hawa
Mbeya : Ilomba – Ikulu, Ilomba – Hyanga, Mwasanga na Isyesye – Nanenane
Songwe : Mlowo

Wanapatikana Pia
Daressalaam, Shinyanga(Shy Mjini, Shy Vijini na Kahama), Tabora (Tabora mjini, Nzega na Igunga), Singida (Manyoni), Kagera, Rukwa(Sumbawanga), Mara (Musoma), Arusha, Manyara, Mwanza na Dodoma

Mawasiliano
Piga simu.
+255743224249
Muda wa kupiga simu, 2 asubuhi – 12 jioni

NB: Picha zilizoambatanishwa zimepigwa baada ya kufika kwa wafugaji mwezi mmoja na miezi miwili, kasoro wa mwezi mmoja walipigwa wakiwa kwa mama mlezi (Brooder Unit or Mother Unit)

1. Mwezi 1
0846d92ce254f6f3848d398cc1bb8b45.jpg

2. Miezi 2
336bae35b0d4941d350264a08d692ddb.jpg

fac71318b17c1e422edd692fed39447a.jpg

3. Miezi 3
7f4aa824eeda2cc19a582f17f307eb37.jpg

591b5d39b670575034ae7318a5d71be0.jpg

fa6e7b287985f16942d573ef8af8516c.jpg
 
Bei mbona hujaweka?? Na hawa Kuroiler huwa wanavyakula vyao kama wale broiler?? Ukisema uwafuge kwa njia kama za wale wa kienyeji pure hawa wanaweza kuvumilia kweli???
 
Wanastahimili vizuri tu mazingira ya uchokoraa (kujitafutia).
Ulaji uko chini kulinganisha na broiler pia upo juu kulinganisha na kuku asili.
Kuhusu bei nimekuDM, kwa maelezo zaidi ncheki kwenye Namba hizo zilizoambatanishwa kwenye uzi mkuu.
 
Pokeaga na simu basi!.
 
Ungeweka tu bei hapa kama wengine
Mfano wengine wauza 1300,1500,2000 wewe bei sh ngapi?
 
Kuku hawa si wageni machoni na masikio pa wengi, hasa wafugaji, wakulima na wajasiriamali inawezekana ukawa umepata fursa ya kuwafuga, kuwasikia mahala popote wakizungumziwa, na hata humu JF kuna baadhi ya uzi zimeanziishwa kuwaelezea ama kuwaulizia.

Kuku hawa hawapo mda mrefu kwenye soko la Tanzania kulinganisha na Aina fananishi ya Sasso ,kwa hiyo kuna kundi la wafugaji hawafahamu ama hawajapata fursa ya kuwafuga kuku hawa.

AKM GLITTERS COMPANY LIMITED – DSM, Inayodhamana ya kutotolesha, kusambaza vifaranga na kutengeneza chakula cha kuku hawa, kussimamia hali na huduma za kuku hawa wawapo kwa wafugaji, Ingawa wamekuepo watu wakijihusisha na usambazaji wa vifaranga na mayai ya kutotolesha ya hawa kuku kwa Muda sasa toka Uganda, Kenya nk.

Vifaranga Vilivyototolewa na kusambazwa na AKMG ni uzao (kizazi) wa kwanza cha wazazi asili (F1)
KUROILER ni aina ya mbegu ya kuku chotara ambao asili yao ni inchini India.

Sifa

1. Wanaweza tumika kama kuku wa Nyama, Mayai ama Wazazi.
2. Wanafugwa katika mifumo yote ya Ufugaji (Huria, Nusu huria na Ndani)
3. Wanastahili Magonjwa na Hali ngumu ya kimazingira.
4. Wanauwezo wa kuchunga (kujitafutia chakula/Uchokoraa)
5. Wanakua haraka
6. Wanaanza kutaga mapema (Miezi 4.5-5)
7. Wanataga mayai mengi (150-200/Mwaka)
8. Majogoo hufikia kg 4-6 ndani ya miezi 5-9 wakifugwa kama kuku wa nyama.

Kampuni imetengeneza utaratibu ambao mfugaji ananunua kifaranga cha kuanzia umri wa mwezi mmoja na SIO CHINI YA HAPO.

Wafugaji maalumu (Brooder Unit) ndio wanahusika na jukumu la kulea vifaranga kuanzia umri wa siku moja mpaka mwezi mmoja (Siku 28). Ndani ya muda huo Wanakua wamepatiwa chanjo za Magonjwa yote Muhimu, Wamelishwa chakula Bora kwa ajili ya Ukuaji na kutimizi mahitaji yao Muhimu ya mwili.

Kwanini mwezi mmoja?.

1. Kurahishisha na kuhakikisha utoaji wa chanjo za magonjwa yote muhimu (Kideri - Newcastle Disease, Gumboro - Infectious Bursar Disease na Ndui-Fowl pox ).
Chanjo ya Mareck’s Disease (Ugonjwa wa kupooza) hutolewa wakiwa na umri wa siku moja.

2. Kupunguza gharama za utunzaji na uleaji wa vifaranga (Brooding)

3. Kuepusha hasara ya vifo vya vifaranga ndani ya Mwezi mmoja

4. Kupunguza muda wa uleaji na kuhudmia kabla hawajaanza kutoa mazao (Mayai au Nyama)

5. Humuongezea mfugaji tija kwa kukuza kuku wengi.

Kwa mfugaji atakaye nunua kuku hawa watasajiliwa ili kurahisisha ufuatiliaji wa Maendeleo ya kuku na Kuwakumbusha muda wa kurudia chanjo ya Kideri na Dawa za Minyoo.

Huduma za kiugavi, matibabu pamoja na Ushauri juu ya hali, Afya, Mazingira na utunzaji wa kuku hawa hotolewa pasipo gharama ya ziada.

Upatikanaji wa kuku hawa
Mbeya : Ilomba – Ikulu, Ilomba – Hyanga, Mwasanga na Isyesye – Nanenane
Songwe : Mlowo

Wanapatikana Pia
Daressalaam, Shinyanga(Shy Mjini, Shy Vijini na Kahama), Tabora (Tabora mjini, Nzega na Igunga), Singida (Manyoni), Kagera, Rukwa(Sumbawanga), Mara (Musoma), Arusha, Manyara, Mwanza na Dodoma

Mawasiliano
Piga simu.
+255743224249
Muda wa kupiga simu, 2 asubuhi – 12 jioni

NB: Picha zilizoambatanishwa zimepigwa baada ya kufika kwa wafugaji mwezi mmoja na miezi miwili, kasoro wa mwezi mmoja walipigwa wakiwa kwa mama mlezi (Brooder Unit or Mother Unit)

1. Mwezi 1
0846d92ce254f6f3848d398cc1bb8b45.jpg

2. Miezi 2
336bae35b0d4941d350264a08d692ddb.jpg

fac71318b17c1e422edd692fed39447a.jpg

3. Miezi 3
7f4aa824eeda2cc19a582f17f307eb37.jpg

591b5d39b670575034ae7318a5d71be0.jpg

fa6e7b287985f16942d573ef8af8516c.jpg
HABARI,Naomba mawasiliano ya simu tafadhali

LUMUMBA
 
saf

safu sana naweza kupata bei zenu tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom