Recent content by Pure_sapiens

  1. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Ebu Nenda kumwona mtaalamu wa afya
  2. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Pole sana. Hali hiyo inawakuta watu wengi hasa wale wanaotaka kuanza Kwa mara ya kwanza ila zipo namna ambayo unaweza ukaanza na ukaendelea bila tatizo. Niweke hapo juu njia za kupita lakini pia naweza kukuongoza na kukusaidia hadi ukapata mafanikio yako
  3. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Unajua Kuna ile hali ya unatamani kuanza mazoezi ila haujuwi una anza anza vipi,ni mazoezi Gani sahihi ya kuanza nayo kulingana na mahitaji yako,lakini pia Kwa beginer lazima aanze na mazoezi mepesi ili kesho aweze kuendelea. Hapo kunahitaji mwongozo na motivation
  4. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Pole sana. Hiyo situation naijuwa sana Kwa mtu anayetaka kuanza ila good thing unaweza kushinda hiyo hali. Kama utapata mtu sahihi wa kukuongoza
  5. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Pole sana Kwa hiyo changamoto. Hali hiyo haipo kwako pekee yako bali Kwa watu wengi wale wanaotaka kuanza Kwa mara ya kwanza na akijitahidi kuanza mwendelezo wanakuwa hawana. Unakosa hamasa tu ila unaweza kuanza Kwa kufanya mambo haya. 1.kama ni mtuamiaji wa mitandao basi anza kutembele page za...
  6. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nakutafuta sana sana wimbo wa J.cole ~premeditated murder. Ahsante
  7. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nautafuta sana wimbo wa Fally ipupa unaitwa SOPEKA....natanguliza shukran
  8. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Oya naomba handle yake IG please
  9. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Hilo swali lako la kijinga yani kijinga/ kulipiza mashambulizi Kwa Iran unaona ubaya.Nadhani maswali yako ilibidi yawe marekani ameenda kufanya nini Iran.....Upumbavu wa watu kama wewe ndo mana ccm wapo madarakani hadi leo
  10. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Mungu doesn't exist (mungu hayupo na hajawahi kuwepo) sijuwi kwanini watu bado wana amini hizi stori za uongo. Ngono za uwepo wa mungu ni binadamu tu aliyetunga baada ya kuanza kuwa civilized na kugundua lugha. Ndo mana ile miungu ya zamani ilikuwa inaonekana na ilikuwa na maumbile ya binadamu(...
  11. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

    Kuna nadharia ya kuwa wakati unakimbia mwili unatumia sugar kama chanzo cha Nishati badala ya mafuta lakini ukiwa unatembea kile kiasi cha oksijen kinaenda kuchoma mafuta Moja Kwa moja
  12. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

    K Kukimbia ni better ila Je unaweza ku burn mafuta Kwa kukimbia zaidi ya kutembea
  13. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

    Kukimbia kwako ni better zaidi
Back
Top Bottom