Recent content by PUNKY

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukiwa kama mtumishi au mfanyakazi

    Hizi notes nilizisoma 2007 kwenye SoMo la office practice exactly kama zilivyo hapa. Imenikumbusha mbali sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hii katuni ya Masoud Kipanya inaelezea mengi kuliko maneno

    Wana JamiiForums leo nimekutana na hii katuni iliyochorwa na Masoud Kipanya, kwa hakika inatoa tafsiri ya mambo mengi yanayoendelea hapa nchini hivi sana. Waswahili walisema mwenye macho haambuwi tazama. Uzi tayari.....
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni nani hasa? Nyendo zake zinatia shaka

    Kweli, NAMI niliwahi kusikia jambo kama hili
  4. P

    JamiiForums Tanzania Scholarship: Watanzania changamkieni fursa

    Watanzania Kazi kwenu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  5. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”

    Mkuu Paschal Mayalla, kaka mkubwa, Ngosha. Nimefuatilia sana Makala zako, hakika una roho ya unabii. Mengi uliandika yakatokea baadae, wewe Ni kichwa. Nilikwazika ulipogombea ubunge kawe kwa sababu nilikuwa hutafanikiwa hapo una uwezo mkubwa, hapa tatizo Ni mfumo, hautaki watu wa aina yako. Siku...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kosa la Rugemalira ni nini ?

    Mnafukua makaburi ehee
  7. P

    JamiiForums Tanzania Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

    Hii ndio michongo, achana na siasa uchwara za Bongol
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inatumia Tsh Billion 200 kununua dawa za “Mabeberu” kila mwaka?

    Tangu lini wameshanunua dawa za billion 200? Mi kweli wananunua dawa kwa mabeberu, lakini haifikii thamani hiyo kwa mwaka, labda kwa miaka mitatu
  9. P

    JamiiForums Tanzania 'Graduate' kuchuuza Makande na Uji Mtaani kama njia ya kujikwamua kimaisha ni matumizi chanya ama hasi ya Elimu?

    Hiyo M. 50 ni pesa kidogo sana kwao. Huyo binti amesoma Isamilo international school, ambayo ada yake ya mwaka ni zaidi ya M. 16 kwa mwaka. Hata huko kwa biden USA bachelor na masters amesomeshwa na wazazi. Lema enterprises ni multi billion company.
  10. P

    JamiiForums Tanzania 'Graduate' kuchuuza Makande na Uji Mtaani kama njia ya kujikwamua kimaisha ni matumizi chanya ama hasi ya Elimu?

    Huyo binti wa Mwanza anayeuza kande maofisini, anafanya hiyo biashara for leisure, kwao ni matajiri kupindukia. Ukifika Mwanza ulizia tajiri Lema. Habari utazipata kwa ukwasi walionao
Back
Top Bottom