Ndugu Polepole umekisoma hiki kitabu? Ufafanuzi wa kina kabisa wa post yako unapatikana humo ndani.
Nimeona wewe umeguswa pia humu ndani. Au labda ni mtazamo wangu
Kuna mwandishi anaitwa DR. DYABOLI. Huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali. Ukisoma kitabu chake kinachoitwa WASOMI WAJINGA utagundua moja kwa moja kwamba huyu jamaa anacheza ligi moja na akina Profesa Kezilahabi na Shaaban Robert. Hao wengine akina Ben Mtobwa na wengineo utawasifia kama wewe sio...
Shetani ni Serafi mkuu, sio Kerubi. Maandiko mengi yanamtambua Shetani kama "An angel of THE HIGHEST ORDER, once loved above all others."
Kuna kitabu cha mwandishi mmoja anaitwa Dr Dyaboli kinaitwa HOW TO SELL YOUR SOUL TO SATAN kimeichambua kwa undani sana nadharia ya shetani kwamba huyu...
Mimi nimebahatika kupata kilichoandikwa kwa lugha adhimu ya Kiswahili. Nimekipata hapa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi Zilizosaidia Mamilioni ya Wanaume Duniani Kote - Malezi na mahusiano - Buy books - We have the best and affordable books
Msome huyu daktari anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Binafsi kimenifunza mengi kuhusu akili ya mwanamke na matunda tayari nayaona. Kitafute ukisome ndugu utarudi hapa kunishukuru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.