Recent content by Pumigogolo

  1. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

    Si ndiyo atapata muda wa kutosha kuhudumia jimbo lake
  2. Pumigogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye wake wafanyakazi kula chuma hicho…

    suala la uwepo wa kondomu kazini lisihusianishwe na kufanyika kwa mapenzi baina ya wafanyakazi waliopo mhala pa kazi. mtoa posti inaonesha kuwa ufahamu wa afua za ukimwi mahala pa kazi unakupiga chenga. kwa ufupi ni kwamba ili kuwarahisishia wafanyakazi wanaohitaji kondomu, kuna programu...
  3. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

    Yeye alikwendapo ile ya bariyadi kijiji kwa wachawi Gamboshi Mooja hiyo. maandiko yanahusikaje kunako mbingu hiyo?wapi na wapi mwanawane?
  4. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

    Chapati; ngano si nzuri kwa afya.
  5. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya ndoto hii?

    Kuna mtu ameniambia ameota ndoto kwamba ameumwa na nyoka mdogo na mguu wake umevimba sana. Nini maana ya ndoto hii?
  6. Pumigogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikija kuoa sitompiga Mke wangu usiku

    Alikutapeli tu! Alikuwa mawindoni ila ntwk ilikuwa haijasoma akaona walau apatepo pa kulalamo?
  7. Pumigogolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

    Mbona ni mwanaume yule hukugunduapo tu?
  8. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    Iko wapi?
  9. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    RIP Dr. Mwelecela Malecela
  10. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa kizungu wana pisi kali za kiafrika lakini wanaume wa kiafrika wapo na kina bibi / wanawake wa kawaida wa kizungu

    Kila mtu anajua anachotafuta na kinapatikana wapi na kwa nani? Wanaotafuta vibibi au vibibi na wavulana au wasichana wadogo; wote wanajua wamelenga nini? Kufanikiwa au kushindwa kwao wao wanajua (kila mmoja kwa nafsi yake).
  11. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

    Chaduru ipo sehemu gani? Isijekuwa zile nyumba za mapaa ya nyasi nje ya mji!
  12. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

    Kichwa cha habari ni miaka 50 si 59. Rekebisha najua ni uhariri wa ile ya 2020 ilipokuwa 49.
  13. Pumigogolo

    JamiiForums Tanzania Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

    Zi wapi Dodoma nyumba zilizokosa wapangaji?
Back
Top Bottom