Recent content by Pucilio

  1. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Hayo majina ni kweli hususani ya Minaki. Wajukuu wa mzee wetu marehemu Paul Mjale. Nimefurahi kuyaona haya majina.
  2. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu katika picha hii, mimi nimeona mengi

    Racism
  3. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Bibi nifundishe kuhusu wanawake

    Namnukuu. `Ili ubaki salama katika kupenda, sharti ujipende kwanza'
  4. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Riwaya mpya: Historia batili na JK

    Kapotea wapi tenaa..
  5. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Nimekusamehe lakini sitasahau

    Hautaweza kusahau kama haujajisamehe wewe binafsi. Kuna kusamehe na kujisamehe.
  6. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane?

    Aisee, so hiki kitu kipo kweli.
  7. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane?

    Nilidhani ni mimi pekee nimesikia hii. Kama na ninyi mmesikia, inaonyesha kuna chembechembe za ukweli kwa kiasi fulani juu ya uwepo wajambo hili. Naamini humu wapo ambao, either wameathiriwa na jambo hili, au kushuhudia na kupata maelezo ya kina juu ya jambo hili.
  8. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane?

    Imani hii ipo sana, mimi nimekuwa nikiisikia zaidi kwenye makabila ya wapare. Tusubiri tusikie na wengine wanasemaje? Nilishuhudia mke akiachwa, kwa madai ni mlango wa nane. Nahisi kuna kitu kwenye hili. Ningependa nijifunze kuelewa hili jambo kwa mapana yake.
  9. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane?

    Hizi story nimekuwa nikizisikia, kuna watu kwenye maisha yaki wakiingia, utaandamwa na mikosi na hakuna ufanyalo ukafanikiwa. Kama ulikuwa na mali, basi utapukutika zote kiajabu kabisa. Je umewahi isikia hii, unachochote tukajuzana zaidi juu ya hili. Karibu.
  10. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Mabasi yanayokimbia sana kwa sasa Tanzania

    Spider
  11. Pucilio

    JamiiForums Tanzania Mchungaji huyu anasakwa kwa uhusika na mauaji ya Albino

    Nimesikia kuna mtu anaita Elephant Bank, sijui Efawata Bank, Epata Bank. mbona hamsomeki. Inaitwaje hiyo Bank?
Back
Top Bottom