According to labour law walichokifanya no kosa kubwa kimsing walistahili either kuonywa,kufukuzwa na kushtakiwa pamoja,adhabu dhidi yao ni sawa baada ya kupewa nafasi ya kujitetea,mwisho walichokifanya ni sawa kwa maslahi mapana kwa mustakabari waTaifa kuliko kazi zao
Mzee Nakamba anapenda cheap politics, kama Taifa tunahitaji kuwa name mjadara mpana wa kitaifa juu ya Sera, vipaumbele na misingi ya Taifa name siyo ushabiki,Taifa liko kwenye "koma"
Nilijiunga na JW 1977 baada ya mafunzo ya a wali nilipangwa kuanza kazi Musoma na 78 Bukoba Kaboya na moja kwa moja mstari was mbele hadi Jinja ila sikuwahi kuandikishwa jina na JK ili kwenda vitani,Makamba afafanue!
Hivi yule Waziri mwandamizi mstaaf wa Zenji alifyatua au....Rage...Gwajima....na Vijisenti.....kwa nini Hakim hakumpatia 2nd option ya miezi 6 na kunyang'anywa haki ya kutomiliki tena silaha ya moto? Hebu wanasheria wa JF twambieni plz
Kuhusu kuwafukuza kazi dereva na katibu wake,hebu tuangalie mamala za uteuzi/ajira zao,....nani anawaajiri,kwa utaratib upi,nan anawalipa mshahara......utaona kuwa huu ni utashi was MP binafsi kama ilivyo kwa wasaidizi wa ndan nk ambao kimsing mwajiri asipolizishwa name utendaji wao wala...
Kwa kipindi kifupi Nassari alichokuwa MP kwa mtazamo Wang tukiweka Politics mbali Amefanikiwa kuwa karib zaid na wananch kwa kupaza sauti zao mfano kwenye issue za mashamba/land,maji,migogoro nk..kazi ya MP siyo kuchangia nondo Bali kuunganisha wananchi ile wajiletee maendeleo wenyewe kwa mikono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.