Hizi chanjo ni mhimu kujiridhisha kisayansi kwamba hazina madhara, pia, hizi cha njo kwa vipimo vya mandiko matakatifu, Kama zimekuja ili zitimize kitu hapo!
Hilo ndilo tatizo lililopo, Mwenye Imani hiyo, kufa, kwake ni bora kuliko kuchanjwa!! na ndicho kinachoendelea karibu kwa mataifa yote!