Recent content by prototypeman

  1. prototypeman

    Yule Mzee aliharibu maisha ya Mabinti wengi Ila yangu aliyaharibu na kuyatengeneza mwenyewe

    Maisha ni kama maji ukiziba huku yanapita huku. Story ya dada cleopatra ina mafunzo mengi, kuna muda unapitia magumu sana kiasi cha kuona kama duniani umekuja kuteseka tuu. Lakini kamwe Mungu wetu ni mkuu hawezi kumuacha mja wake aibike milele. Nipo najiuliza hivi kama dada Cleo asingepitia...
  2. prototypeman

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Story hujaielewa mchumba anaetakiwa asimsaliti ni Annie km hujui soma vzr walipotoka
  3. prototypeman

    Perfect Money

    Nitumie namba yako ya whatsapp inbox
  4. prototypeman

    Perfect money

    Nicheki nikusaidie andaa ya soda
  5. prototypeman

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    pale wanauza mipande ya kuku imenona balaaa....... aisee hua nikipita natamani niingie nipate mipaja ile ila rohp ilikua inasita
  6. prototypeman

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Shida yako unasoma ila huelewi......wapi umughaka amesema Maya ni mnyama?
  7. prototypeman

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Mzee anataka kumpa shavu BM sema hii mithiani anayompa ni kiboko awe makini hata huyo Caren ni right hand man wa mzee hiyo mithiani usikute anahusika kuitunga
  8. prototypeman

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Sio Umughaka huyo ni user mwengine ka copy na kupaste
  9. prototypeman

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ifike mahali na nyinyi mkue kaa...yaani mtu aache shughuli zake afanye kazi ya kuwaandikia, nyinyi mnamlipa shilingi ngapi? Muacheni afanye mambo yake akipata mda atawaandikia episode mpya ukiona anachelewa acha kufuatilia sio lazima maana yeye hanufaiki na chochote wewe ukisoma.
  10. prototypeman

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    BM angekua anaiba kama yule jamaa aliemuachia ofisi hii safari na Caryn ndo ingekua mwisho wake😂😂😂
  11. prototypeman

    Nabii Clear Malisa ni nani?

    Ukitaka kumjua nabii wa kweli muombe aisome nafsi yako, yaani unachowaza na mipango yako ulionayo....Shetani ana uwezo wa kuona future yako, mambo ya nyuma nk ila hana uwezo wa kujua kilicho ndani ya nafsi yako mpaka ukitamke au ukitende.....Hivyo nabii wa kweli wa Mungu anaunganishwa na nafsi yako.
  12. prototypeman

    SoC02 Mtaala Wa Elimu; Nini tuboreshe kwenda sambamba na madadiliko ya Dunia

    Sijashauri tuangalie nchi nyingine yaani tu copy mfumo wa nchi nyingine bali lengo ni kuwa na mfumo wetu utaomfunya muhitimu kuwa competent na kuendena na dunia ya sasa, katika huo mfumo kidogo nimegusia nchi ya Kenya na Nigeria hada katika somo la ICT kupewa kipaumbele Msingi na Sekondari...
  13. prototypeman

    SoC02 Mtaala Wa Elimu; Nini tuboreshe kwenda sambamba na madadiliko ya Dunia

    Habari wakurungwa wa Jamii Formu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo yapata kama mtoto wa darasa la tatu hivi, siku moja nilikuwa na mzee wangu akaniambia jitahidi sana kusoma kwani elimu yako ndio ufunguo wa maisha yako. Kwa kweli sipingani na ushauri wa mzee maana miaka ile ya 2000 mwanzoni...
Back
Top Bottom