Ujumbe, makini mkuu.....Then na kwa wanawake hata kama sio malaya ukipewa pesa na mwanaume haijarishi ni kubwa au ndogo kuwa na shukrani ya dhati...kumbuka anawatu wa mhimu kukuzidi lkn amekupatia ww ambae si ndugu yake....
Wanaume wenzangu....wema huanzia nyumbani.
Kwa kujiajirii ni vema asome Agricultural Production kwa Tz bado anauwanja mpana wakufanya mambo sababu agriculture ina vitu vingi ndan yake ambazo ni fursa kujiajiri, pia ICT ni nzuri lkn yampasa aangalie ataspecialized wapii kama ni database, programmer au networker akikomaa humo soko lipo mkuu
Kwa sasa baadhi ya vyuo na course fulanii hivii ndo wapoo entitled kupata mikopo under HESLB,,ukiingia kwenye official website ya HESLB kuna guidance na qualifications za wanafunzi wa diploma kupata mkopo....ila the rest ni majukum ya mzaziii kama kawaida
Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.